Ndugu wa Frank Kibona wa Mbeya wanatafutwa

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
IMG-20210525-WA0239.jpg

Habari za jioni jamani, samahanini sana kwa usumbufu lakini nimeona nitume.

Picha hiyo hapo chini ni jamaa wa Mbeya anatambulika kwa majina mawili "FRANK KIBONA". Kafariki dunia akiwa Tanga lakini ni mkazi wa Mbeya.

Lengo ni kwamba, kama kuna anaemfahamu ama anafahamiana na ndugu zake basi awajulishe kabla ya siku 7 zilizobaki ambazo zilitolewa na serikali kabla ya mtu huyu kuzikwa na halmashauri ya jiji.

Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya bombo Tanga.
 
Wakuu nimemuuliza rafiki yangu kasema Ni mtoto wa mjomba wake. Alikuwa anatafutwa, Familia Mbeya imepata Taarifa za msiba bado wanajadili kuhusu maziko au Kama wakiona vipi waachie serikali imzike.
Asante sana kwa juhudi kujitoa na mrejesho. Shukrani pia kwa big brother Bujibuji kwa kuileta hapa hii taarifa. MBARIKIWE!
 
Wakuu nimemuuliza rafiki yangu kasema Ni mtoto wa mjomba wake. Alikuwa anatafutwa, Familia Mbeya imepata Taarifa za msiba bado wanajadili kuhusu maziko au Kama wakiona vipi waachie serikali imzike.
Alikuwa anatafutwa, Familia Mbeya imepata Taarifa za msiba bado wanajadili kuhusu maziko au Kama wakiona vipi waachie serikali imzike.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Tuwaase ndugu na jamaa zetu wakiondoka nyumbani waage na waondoke kwa amani na wakifika waendako wasisite kutoa taarifa na anuani
 
[emoji44][emoji44][emoji44] sio pingu ni bangili za shaba.. Hizi zipo za aina mbili

1. Zinazovaliwa na vijana kama urembo
2. Zinazovaliwa na wachawi kutambulisha viwango vya level zao za uchawi
Tanga kuna sehemu inaitwa Magoroto usiende huko ukiwa umevaa bangili lako la urembo, watakutest kumbe maskini huna lolote, unaweza kurudi kiroba
Eti ni kweli zinawalinda dhidi ya uchawi, mashetani na usheitwani?
 
Alikuwa anatafutwa, Familia Mbeya imepata Taarifa za msiba bado wanajadili kuhusu maziko au Kama wakiona vipi waachie serikali imzike.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Tuwaase ndugu na jamaa zetu wakiondoka nyumbani waage na waondoke kwa amani na wakifika waendako wasisite kutoa taarifa na anuani
Kweli mkuu. Inavyoonekana aliiondoka nyumbani miaka mingi na hakuwa na mawasiliano na familia
 
Alikuwa anatafutwa, Familia Mbeya imepata Taarifa za msiba bado wanajadili kuhusu maziko au Kama wakiona vipi waachie serikali imzike.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Tuwaase ndugu na jamaa zetu wakiondoka nyumbani waage na waondoke kwa amani na wakifika waendako wasisite kutoa taarifa na anuani
Mshana Jr, watu wanatafuta maisha kwa hiyo wakati mwingine wanaamua kwenda sehemu moja wanajikuta wameishia mahali pengine.Cha maana wasiache kuwasiliana na ndugu zao kuwa wapo mahali fulani. Inasikitisha!
 
[emoji44][emoji44][emoji44] sio pingu ni bangili za shaba.. Hizi zipo za aina mbili

1. Zinazovaliwa na vijana kama urembo
2. Zinazovaliwa na wachawi kutambulisha viwango vya level zao za uchawi
Tanga kuna sehemu inaitwa Magoroto usiende huko ukiwa umevaa bangili lako la urembo, watakutest kumbe maskini huna lolote, unaweza kurudi kiroba
Kumbe aisee
 
Back
Top Bottom