Ndugu wa Frank Kibona wa Mbeya wanatafutwa

Ndugu wa Frank Kibona wa Mbeya wanatafutwa

Habari za jioni jamani, samahanini sana kwa usumbufu lakini nimeona nitume.

Picha hiyo hapo chini ni jamaa wa Mbeya anatambulika kwa majina mawili "FRANK KIBONA". Kafariki dunia akiwa Tanga lakini ni mkazi wa Mbeya.

Lengo ni kwamba, kama kuna anaemfahamu ama anafahamiana na ndugu zake basi awajulishe kabla ya siku 7 zilizobaki ambazo zilitolewa na serikali kabla ya mtu huyu kuzikwa na halmashauri ya jiji.

Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya bombo Tanga.
aise Kuna staff mwwnzangu hapa jijini Dodoma ,naye anaitwa kibona ,jina la ubini.lkn pia ni wa mbeya.
 
Mungu ajarie ndugu zake wapatikane mapema wampumzishe vile inavyostahili R. I. P Songo
 
[emoji44][emoji44][emoji44] sio pingu ni bangili za shaba.. Hizi zipo za aina mbili

1. Zinazovaliwa na vijana kama urembo
2. Zinazovaliwa na wachawi kutambulisha viwango vya level zao za uchawi
Tanga kuna sehemu inaitwa Magoroto usiende huko ukiwa umevaa bangili lako la urembo, watakutest kumbe maskini huna lolote, unaweza kurudi kiroba
Mkuu Mshana naskia zile wanazovaa Masai,tindiga,barbaig,man'gati miguuni naskia ni kinga ya nyoka.hugongwi na nyoka.
 
Kweli JF inasaidia sana
Kupatikana kwa ndugu na jamaa ni jambo jema sana
Mdau alieleta mada na aliesaidia kupatikana jamaa zake mbarikiwe sana
Poleni wafiwa
 
[emoji44][emoji44][emoji44] sio pingu ni bangili za shaba.. Hizi zipo za aina mbili

1. Zinazovaliwa na vijana kama urembo
2. Zinazovaliwa na wachawi kutambulisha viwango vya level zao za uchawi
Tanga kuna sehemu inaitwa Magoroto usiende huko ukiwa umevaa bangili lako la urembo, watakutest kumbe maskini huna lolote, unaweza kurudi kiroba
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hao wachawi wakimtest meditator ambae ame-open Third Eye, watamshinda?
CC Mshana Jr
 
Back
Top Bottom