Ndugu wa Frank Kibona wa Mbeya wanatafutwa

aise Kuna staff mwwnzangu hapa jijini Dodoma ,naye anaitwa kibona ,jina la ubini.lkn pia ni wa mbeya.
 
Mungu ajarie ndugu zake wapatikane mapema wampumzishe vile inavyostahili R. I. P Songo
 
Mkuu Mshana naskia zile wanazovaa Masai,tindiga,barbaig,man'gati miguuni naskia ni kinga ya nyoka.hugongwi na nyoka.
 
Kweli JF inasaidia sana
Kupatikana kwa ndugu na jamaa ni jambo jema sana
Mdau alieleta mada na aliesaidia kupatikana jamaa zake mbarikiwe sana
Poleni wafiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hao wachawi wakimtest meditator ambae ame-open Third Eye, watamshinda?
CC Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…