Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu.

Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi.
Wanatiwa mbaroni kwa kosa gani? Huo ndio uonevu tunaoongelea, anaua mtoto anakamatwa mama! au kaka, dada, mjomba etc. Yaani haya ni mambo ya Taliban na North Korea. Aliyefanya makosa mlimuua wa kazi gani wakati aliishiwa risasi na akanyoosha mikono juu? Ninyi polisi ni wapuuzi kweli, sasa mmekosa information.
 
Dar es Salaam.

Familia inayodaiwa kuwa ya mtu aliyepambana na polisi kuchukuliwa na jeshi hilo jana usiku kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Jana, Jumatano Agosti 25, 2021 usiku, polisi walifika katika nyumba iliyokuwa imewekwa alikuwa akiishi mtu aliyewaua askari wanne, ambaye ni mmoja wa kampuni ya ulinzi.

Gazeti la Mwananchi liliweka kambi eneo hilo lililopo Upanga Mtaa wa Moto, Dar es Salaam.

Awali, kabla ya kuchukua familia hiyo, polisi walikuwa wamehifadhiwa chini ya ulinzi wa nyumba inayojulikana alikuwa akiishi mtu huyo.

Wakiwa kwenye nyumba hiyo, polisi waliongozana na mwenyekiti wa Serikali ya mtaa huo huo na kuingia ndani kwa kile kilichodaiwa ni kucheza na familia ya muuaji huyo.

Polisi, walipoulizwa kinachoendelea kwenye nyumba hiyo, walidai uchunguzi bado unaendelea na watatoa taarifa baada ya kukamilika.

Mtu huyo ambaye pia aliuawa kwa risasi, jana alizua taharuki sehemu za barabara ya barabara ya Kinondoni na Kenyatta baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika kuwa anawatafuta polisi.
 
Wanasumbua wanafamilia bure, wao CCM mbona wanamjua vizuri?
Kwa uchunguzi ni jambo la kawaida ndugu marafiki kushikiliwa then uachiwa,sema kukaa sela pasipo hatia hapo ni tatizo ilifaa wakae hotelini.
 
"Lack of technical know how"..ilikuawa point ya history hyo, ukikuta swali kwanin mkwawa alishindwa vita, mara sijui nandi, mara majimaji..
 
Ni vema polisi wangelinda eneo lao kuliko kuwasweka rumande, wana kosa gani?

Acha wajifanye konki, hawawajui wasomali hawa ee!! Mmoja tu ameleta mazara kwa vifo vi4 na majeruhi6. Ni mmoja tu uyo kawatoa Nokaut. Sipati picha yakitokea kama kenya polisi watakimbiana. Tusiombe yatokee, but wawe care sana na wasomali, ni watu wa kisasi.
 

Duu msemo huu umetimia!
MKAANGA MBUYU HULA NA WANAE!
 
Hakuna Cha weredi wa Askari Wala Nini baada ya jamaa kunyoosha mkono na kuwa sehemu ya wazi ndo wakampatia hapo wakampiga risasi.
Ila angekuwa na lmg Ina risasi Kama 300 sijui wangempata muda gani.

Polisi wakubali sio kuwa wapo kivita jamani sema wapo kutafuta ugali wa familia Yao. Na ndo Mana huwa wanakamata yule asiyependa kesi anayejishughlulisha na kazi zake ili wamchukue hela za bure.

Kuna jambazi hapa Nyamwaga Tarime alikuwa akipita na ng'ombe za wizi mbele kabisa ya kituo Cha polisi. Anadai kuwa ngoja cows wake watembee polepole wasikimbizwe. Anarusha risasi kwenda kituoni hakuna anayetoka nje kupambana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…