johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #161
Bavicha wanajifanya wajuaji sana!Unajua wamekuta nini nyumbani kwao? Unatoa mapovu tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bavicha wanajifanya wajuaji sana!Unajua wamekuta nini nyumbani kwao? Unatoa mapovu tu!
Sasa hukwenda kumkamata kwann mpaka anaua askari wenzako?Njia sahihi ilikuwa ni kumkamata muhusika mwenyewe ataje kila kitu
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Sipati picha mkuu! This time gaidi wa kweli ametokea huko kwao. Mungu amewaumbua
Kupitia familia yake kuna taarifa muhimu zinaweza kupatikana, mfano mfumo wa maisha yake kama yana historia ya uhalifu. Wapi anaweza kuwa amejifunza matumizi ya silaha.Hawajakurupuka wala hakuna mahala polisi wamesema ndugu wa Hamza ni waharifu. Kuwa chini ya ulinzi au kukamatwa haimaanishi mtu anatuhumiwa...
Kawaida ya kokoro,ukilitumia kuvua kwa kokoro unaweza kutana na vingi.Wakati wa siasa siasani CCM hukusanya kula anayeweza kuimba mapambio yao bila kujadili background za waimbaji.Siyo dalili njema kwa Tanzania yetu!All ze wei from somalia to ccm lumumbaView attachment 1908476
Sikuwepo maeneo ya mjini,nimekumbuka video moja ilisambaa mitandaoni ya magaidi wa msumbiji walituma salamu kwa jiwe akisema"nchi yako haina ulinzi kabisa,polisi wako ni weupe mno,nilituma vijana wangu wakiwa mikono mitupu na wakawapora askari wako silaha wakaja nazo" Leo ndio nimeyakumbuka haya manenoSasa hukwenda kumkamata kwann mpaka anaua askari wenzako?
Walimdhulumu?Mwamba ni green guard[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao magaidi walituma salamu wakiwa wamejificha? Halafu kuhusu hao magaidi vipi mbona nao hukuwakamata? Au ulikuwa nje ya mji pia?Sikuwepo maeneo ya mjini,nimekumbuka video moja ilisambaa mitandaoni ya magaidi wa msumbiji walituma salamu kwa jiwe akisema"nchi yako haina ulinzi kabisa,polisi wako ni weupe mno,nilituma vijana wangu wakiwa mikono mitupu na wakawapora askari wako silaha wakaja nazo" Leo ndio nimeyakumbuka haya maneno
Wamkamate na johnthebaptist ni mwenzake.Ilikuwa ni lazima. Hata marafiki zake nao watatafutwa, hiyo ni njia tu ya upelelezi na kutaka kuujua ukweli.
Haishangazi
Nakwambia walituma video clip wakiwa msumbiji.Hao magaidi walituma salamu wakiwa wamejificha? Halafu kuhusu hao magaidi vipi mbona nao hukuwakamata? Au ulikuwa nje ya mji pia?
Kama wewe sio askari mambo ya weledi wa kiaskari unaozungumzia na kutoa maelekezo humu umejifunzia au kuujulia wapi?Nakwambia walituma video clip wakiwa msumbiji.
Hata hivyo mimi kazi yangu si askari,walioajiriwa kwa ajili ya hiyo kazi waifanye kwa uweledi
Walimdhulumu?
Kushindwa kumkamata muhalifu ni alama ya waziwazi kabisa kwamba kuna tatizo la uweledi.Kama wewe sio askari mambo ya weledi wa kiaskari unaozungumzia na kutoa maelekezo humu umejifunzia au kuujulia wapi?
Eeeeeh!!!Achenikupindisha story wehu nyie
Akapige Ubalozi wa France umsaidie nini?
Jamaa mlimnyang'anya madini yake kaamu kuwaua,he was right
Acheni usenge
Mbona unakurupuka kama vile uko period, nani kakwambia ndugu zake walokamatwa ni wahalifu? wamechukuliwa ili kusaidia uchunguzi na ikibainika kwamba hawana tuhuma zozote wataachiwa, lakini pia watasaidia kujua huyo mhalifu alikuwa ni mtu wa vipi. Kwa ufupi watasaidia sana tu, si kwamba wamechukuliwa kwa vile ni wahalifuKama ni kweli huu ni upumbavu wa KUKURUPUKA. Ndugu kuwa mhalifu haina maana ndugu zake wote ni wahalifu labda kama kuna ushahidi wa uhalifu wa ndugu zake. Wakamate na maccm yote basi yaliyokuwa karibu na huyo muuaji.
View attachment 1908450
Wewe umekaa Jf kuwaita wenzio magaidi. Kwani we si GAIDI ?! magu2016Ni Gaidi kama wewe
Hujui lolote kuhusu uaskari, hujui ni mazingira gani wanafyatua risasi kwa nia ya kuua au wanafyatua kwa nia ya kukamata mhalifu akiwa hai. Ila upo unasema unayoyasema. Hahaha, mdomo wa binadamu huo.Kushindwa kumkamata muhalifu ni alama ya waziwazi kabisa kwamba kuna tatizo la uweledi.
Wala haihitaji ukafundishwe kozi za uaskari ndio uweze kuona hilo tukio.