witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Sasa hivi ukimuona police ukiita hamzaaa kwa sauti kubwa....hiyo speed yake kama jet[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Sasa hivi ukimuona police ukiita hamzaaa kwa sauti kubwa....hiyo speed yake kama jet[emoji16][emoji16]
Chama cha magaidi!
Hilo linafanyika km huyo muhusika ni mpalestina lkn km ni muisrael nyumba haivunjwiHili linafanyika ili kutoa fundisho kwa mtu yoyote ambaye anataka kufanya ugaidi. Ukifanya ugaidi, utaisumbua na kuiletea matatizo familia yako kwa hiyo ni bora usifanye. Ni aina ya deterrent. Tena afadhali ya Bongo, kule Israel serikali wanavunja kabisa nyumba za familia ya yoyote anayefanya ugaidi ili iwe ni fundisho kwa yoyote anayetaka kufanya ugaidi.