Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

Kwanini Mwananchi hawajamuuliza msemaji wa familia kuhusu iwapo Hamza alikuwa akijihusisha na biashara ya madini au la!
 
Dar es Salaam.

Kuhusu Hamza kuishi kisiri huku akiwa amegubikwa na viashiria vyote vya ugaidi na kujifunza mambo mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, hasa ile ambayo inaonyesha matendo ya Al-Shabab na makundi kama ya ISIS,

Bado polisi wakamuacha tu akitesa mtaani. Au ndio ile ya kusubiri tukio/uharibifu utokee ndipo matamko yatolewe
 
Hamza hakuwa na viashiria vya ugaidi. Polisi imejitungia ikiamini hakuna wa kuwajibu.
tuna ushahidi na mambo mengi polisi waliyojitungia,mengi sana
Walishawahi kumkamata ndugu yetu usiku wa saa tatu akiwa amelewa,tena nyumbani wakaenda naye
kesho yake wakatangaza wamemkuta kwenye tukio la uvamizi wa duka la hardware akiwa na silaha na wamemuua
 
Aisee poleni sana
 
Kwa
Kwa sasa ni busara kuiacha hii familia ipunzike wanapitia maumivu mengi. Japo hili nalo litapita nasi tutasahau na kusubiria tukio lingine
 
Ubalozi wa ufaansa hawajatoa footage? Camera zitakua zimenasa mwanzo wa mtanange
 
Suisaidi Tera 😀 😀 😀 😀 ,Terror Squad ! DCI buana yaani mtu anajifunza ugaidi youtube kwa kuangalia matendo ya Alshabaab na ISIS...Je kumimina mjegejo nayo alijifunza youtube?
Hata ile binduki aliyoendanayo salenda aliidanlod twita
 
Tuseme Hamza sio gaidi haina noma!
Kwa nini alimuua askari wa kampuni binafsi ???ya ulinzi
Swali zuri, ungerisgirikisha akili kabla yakujibu usingeuliza. Ungepata majibu mengi kwanini aliuliwa
 
Tuseme Hamza sio gaidi haina noma!
Kwa nini alimuua askari wa kampuni binafsi ???ya ulinzi
Hukusikia yule askari wa kampuni binafsi alijiandaa kumshambulia hamza ndio hamza akamuwahi? Nadhani hamza alimuua yule wa binafsi kwakua yule wa binafsi alikuwa anakoki gobole lake ila wale wengine waliuawa kwasababu ndio walikuwa lengo la Ndugu hamza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…