Uchawi upo hata vitabu vya dini vimeweka wazi ila cha muhimu usiuamini wala kuusujudia_ upe kisogo na wenyewe utakupa kisogo
Sio bongo tu...kwan hata mbele hawafanyi hivyo???!!!....unaichukia tz au ww ni mkimbizi..kweli kk nakwambia Hakuna watu wanafiki na wazandiki kama WATANZANIA dunia hii zunguka kote hilutaona zaid ya TANZANIA yaan jamaa alkua na hit songs sana lkn cja ajabu hakuna media ilokua ikipiga nyimbo zake.ola leo hii kila media inapiha nyimbo zake baad ya kufarik hii ni umajinuni mkubwa sana ata Jide alishasemaga akifa ndio utaskia wanapga nyimbo zake
Duuh_ una dini Mkuu?Uchawi haupo. Kama upo nirogeni!
Hivyo unavyoviita vitabu vya dini ni mkusanyo wa riwaya tu.
hamn nch yenye wanafk kama bongo unafk na ubwenyenye upo bongo tu hamna kwnye nchi nyngne me nimeishi nchi zote za EA mijin na V. pia baadh ya nch za Afr Eur S.Amer N.Amer Asia nk na mm ni mtanzania OG usinipekue sana nyie mapai nawajua mpo weng kipind hiki cha .......Sio bongo tu...kwan hata mbele hawafanyi hivyo???!!!....unaichukia tz au ww ni mkimbizi..
kwa hiyo karogwa??Uchawi upo hata vitabu vya dini vimeweka wazi ila cha muhimu usiuamini wala kuusujudia_ upe kisogo na wenyewe utakupa kisogo
Wabongo wanafiki kweli kwelihamn nch yenye wanafk kama bongo unafk na ubwenyenye upo bongo tu hamna kwnye nchi nyngne me nimeishi nchi zote za EA mijin na V. pia baadh ya nch za Afr Eur S.Amer N.Amer Asia nk na mm ni mtanzania OG usinipekue sana nyie mapai nawajua mpo weng kipind hiki cha .......
kumbe umeishi baadhi ya nchi,mi nilifikir zotehamn nch yenye wanafk kama bongo unafk na ubwenyenye upo bongo tu hamna kwnye nchi nyngne me nimeishi nchi zote za EA mijin na V. pia baadh ya nch za Afr Eur S.Amer N.Amer Asia nk na mm ni mtanzania OG usinipekue sana nyie mapai nawajua mpo weng kipind hiki cha .......
umeamini sioo!!! tena ukiwa msema kweli ndo unaonekana kinyesi kbsa thanks kk karibu SAWabongo wanafiki kweli kweli
uchawi upo ila hiyo ya kurogwa ngoma nakataaUchawi haupo. Kama upo nirogeni!
Hivyo unavyoviita vitabu vya dini ni mkusanyo wa riwaya tu.
Duuh_ una dini Mkuu?
kumbe upo hadi r.i.pBANZA STONE
LILIAN INTERNET
ASHA MADINDA
SAM WA UKWELI
Hawa wasanii kuna haja ya kuwapa elimu ya Ukimwi, wanajisahau sana kwakweli
we ulieish zote una nn??? tuache ubazazi bhna tupo ktk kipind cha majonz karibu SAkumbe umeishi baadhi ya nchi,mi nilifikir zote
uchawi upo ila hiyo ya kurogwa ngoma nakataa
Kwahiyo mkuu we unaamini nini katika ulimwengu huu?Sina na mambo yananiendea murua kabisa!
superstition ipo mkuu...kuchawiwa unachawiwa ila si AIDSUchawi haupo! Kilichopo ni dhana ya kufikirika tu na ndo maana hakuna anayeweza kuniroga!