Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Wimbo wake wa mwisho kasema kuwa anaumwa ukimwi wa kutengenezwa

Ndugu zake wanabweka bure tu aliugua siku nyingi wakati producer ndo amemfia mikononi na hakutaka hata nduguze wajue kuwa yu mahututi, mshkaji mpaka anamfunga pampas jamani huyu kaka abarikiwe tu kwa msaada wake kumfunga mtu mzima pampas ni moyo wa kipekee sana mnaomlaumu producer nawashangaa sana

Apumzike mahali pema
 
kweli kk nakwambia Hakuna watu wanafiki na wazandiki kama WATANZANIA dunia hii zunguka kote hilutaona zaid ya TANZANIA yaan jamaa alkua na hit songs sana lkn cja ajabu hakuna media ilokua ikipiga nyimbo zake.ola leo hii kila media inapiha nyimbo zake baad ya kufarik hii ni umajinuni mkubwa sana ata Jide alishasemaga akifa ndio utaskia wanapga nyimbo zake
Sio bongo tu...kwan hata mbele hawafanyi hivyo???!!!....unaichukia tz au ww ni mkimbizi..
 
hamn nch yenye wanafk kama bongo unafk na ubwenyenye upo bongo tu hamna kwnye nchi nyngne me nimeishi nchi zote za EA mijin na V. pia baadh ya nch za Afr Eur S.Amer N.Amer Asia nk na mm ni mtanzania OG usinipekue sana nyie mapai nawajua mpo weng kipind hiki cha .......
 
Wabongo wanafiki kweli kweli
 
hamn nch yenye wanafk kama bongo unafk na ubwenyenye upo bongo tu hamna kwnye nchi nyngne me nimeishi nchi zote za EA mijin na V. pia baadh ya nch za Afr Eur S.Amer N.Amer Asia nk na mm ni mtanzania OG usinipekue sana nyie mapai nawajua mpo weng kipind hiki cha .......
kumbe umeishi baadhi ya nchi,mi nilifikir zote
 
Back
Top Bottom