Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Cjasema nimeishi nchi zote... kuna watu wa mbele mi nimewajua baada ya wao kudanki....SA ntakaribia muda si mudawe ulieish zote una nn??? tuache ubazazi bhna tupo ktk kipind cha majonz karibu SA
Kwahiyo mkuu we unaamini nini katika ulimwengu huu?
superstition ipo mkuu...kuchawiwa unachawiwa ila si AIDS
Aiseeh_ Basi sawa Mkuu.. Una point lakini Nina point Zaidi za kuniridhisha kuwa lazima kuna kitu kinaitwa Mungu Kwa namna yoyote ile na visa vya Uchawi vipo na vinaogofya. Imani ni kipimo kikuu cha ushindi na inavyoonekana Imani yako imekuepusha na mengi_Naamini katika usawa wa binadamu, haki kwa wote, uadilifu, na mengineyo.
Lakini siamini katika usasili hata kidogo!
poa ucjali.ila umeona umuhimu wa kukaa na watu wa mataifa?? unawajua tabia zao kiundan na namn ya kuish naoCjasema nimeishi nchi zote... kuna watu wa mbele mi nimewajua baada ya wao kudanki....SA ntakaribia muda si muda
Ndo hivyo mkubwa..pia kuna baadhi ya mambo unajifunza toka kwao...poa ucjali.ila umeona umuhimu wa kukaa na watu wa mataifa?? unawajua tabia zao kiundan na namn ya kuish nao
So what does it mean so far???Saying it so doesn’t make it so!
noted mkuuClinically ukimwi haujwahi kuua mtu...Bali magonjwa nyemelezi hivyo hata kama alikuwa na HIV hii haimaanishi Sam kafariki kwa HIV....sababu HIV kazi yake ni kupambana na kushusha kinga ya mwili then magonjwa nyemelezi kitaalamu wanaita opportunists disease ndio yanaua kama maralia, mafua, amiba, typhod e.t.c and not HIV.
Kwa hiyo mshkaji kafariki kwa maralia na sio ukimwi na ukimwi hajawahi kuua mtu hata siku moja kwa hili tusiusingizie.
Marehemu Sam amekufa Kwa maralia na UTI na sio HIV.
Hope you are in better place Sam.
Tangulia Sam, tunakuja!
asantePoleni sana!
aisee stooopppp it yatosha tuko kwenye maombolezo jamaniAiseeh_ Basi sawa Mkuu.. Una point lakini Nina point Zaidi za kuniridhisha kuwa lazima kuna kitu kinaitwa Mungu Kwa namna yoyote ile na visa vya Uchawi vipo na vinaogofya. Imani ni kipimo kikuu cha ushindi na inavyoonekana Imani yako imekuepusha na mengi_
Malaria na Pressure ni magonjwa yanayoongoza kwa kusingiziwaMalaria na UTI aisee bongo bongo tu
Yanasingiziwaje yaani? Fafanua mkuu.Malaria na Pressure ni magonjwa yanayoongoza kwa kusingiziwa
Bila kusahau "KIFUA".Malaria na Pressure ni magonjwa yanayoongoza kwa kusingiziwa
ila mapenzi ya kweli hayana unafiki ndani yake..............Maisha Bila unafki hayaendi Mkuu......
ila mapenzi ya kweli hayana unafiki ndani yake.......Maisha Bila unafki hayaendi Mkuu......
Mtu hata akifa kwa ugonjwa mwingine watu husema amekufa kwa malaria/preshaYanasingiziwaje yaani? Fafanua mkuu.
Unarogwa unaugua ukimwi kabisa hata ukipima majibu HIV+Wanavyodai unakuwa una Dalili zote lakini ukapimwa unaonekana mzima.