Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Lakini yeye ndio alimsimulia producer maradhi yake..
 
Alie sema hana jina?
Ndugu nae hana jina?
 
kwa upeo wake wa kufikiri aliona kuwa amefanya poa "" Mkuu.."" mtu timamu hawezi kutoa kauli kama ile wakati "" mtu bado yupo hospital "" alipaswa kusema daktari kilichomuua Sam "" nikipi " nasio yeye""....
True, nahisi ana matatizo yule ni kitu cha ajabu sanA
 
Ya pampas nimeiskia huko whatsapp skutaka kuiamini
Kumbe kweli !!!! Basi producer hata kama kakosea wamuache
 
Umenena kitaalamu sana, HIV hushusha kinga ya mwili, kinga ikishuka mtu anakuwa na upungufu wa kinga (UKIMWI), ambao upelekea magonjwa nyemelezi (opportunistic disease), na haya ndo hupelekea kifo. Hakuna ugonjwa unaoitwa UKIMWI unaoweza kumuua mtu.
 
Uchawi haupo. Kama upo nirogeni!

Hivyo unavyoviita vitabu vya dini ni mkusanyo wa riwaya tu.
Kwa watu wa maktaba, Biblia wanaicategorise kma general literature. Ni kitabu cha historia ya wananisraeli na Mungu wao and nothing else.
 
Kwa watu wa maktaba, Biblia wanaicategorise kma general literature. Ni kitabu cha historia ya wananisraeli na Mungu wao and nothing else.
Mimi nimesoma islamic seminary kun sheikh alikua anatembea na biblia katika kila page aliyosoma akiona hakimpendezi anazungushia pen nyekundu afu anaandika OONGO nk
Humo humo anaandika namba za simu ,majina ya vitu ,majina ya wachelewa msikitini
 
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa ajabu kiasi hicho?walitaka aseme kafa kwa presha[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]wanataka wakinafikie hadi kifo
Itakuwa ni Ugonjwa Wa ajabu sana Sio Kwa kuukana Hivyoo
 
BANZA STONE

LILIAN INTERNET

ASHA MADINDA

SAM WA UKWELI

Hawa wasanii kuna haja ya kuwapa elimu ya Ukimwi, wanajisahau sana kwakweli
Bendi ya Twangapepeta ndio wameisha kabisaa....
 
Imani potofu za kijinga na kipumbavu tu.

Uchawi haupo!

Ungekuwepo basi mimi ningekuwa nimesharogwa zamani sana maana wanaopenda nitokewe na mabaya ni wengi!
humu JF? sio watu hawakupendi umekuwa unaandika shits siku za karibuni watu hawakawii kukuchana!
 
Kifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
Hiyo ni kawaida mtu akifa lazima akumbukwe, hata wewe inawezekana ukawa na jirani ambaye siyo rafiki yako ila akifa utashiriki msiba wake inawezekana hata kaburi ukashiriki kumchimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…