Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa anaugua ugonjwa wa UKIMWI wa kurogwa.

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamesema kuwa marehemu amekufa kwa Malaria na UTI na magonjwa hayo yameanza kumsumbua tangu Ijumaa ya wiki iliyopita baada ya kuwasili kutoka Singida alikoenda kwenye show.
Lakini yeye ndio alimsimulia producer maradhi yake..
 
Alie sema hana jina?
Ndugu nae hana jina?
 
kwa upeo wake wa kufikiri aliona kuwa amefanya poa "" Mkuu.."" mtu timamu hawezi kutoa kauli kama ile wakati "" mtu bado yupo hospital "" alipaswa kusema daktari kilichomuua Sam "" nikipi " nasio yeye""....
True, nahisi ana matatizo yule ni kitu cha ajabu sanA
 
Wimbo wake wa mwisho kasema kuwa anaumwa ukimwi wa kutengenezwa

Ndugu zake wanabweka bure tu aliugua siku nyingi wakati producer ndo amemfia mikononi na hakutaka hata nduguze wajue kuwa yu mahututi, mshkaji mpaka anamfunga pampas jamani huyu kaka abarikiwe tu kwa msaada wake kumfunga mtu mzima pampas ni moyo wa kipekee sana mnaomlaumu producer nawashangaa sana

Apumzike mahali pema
Ya pampas nimeiskia huko whatsapp skutaka kuiamini
Kumbe kweli !!!! Basi producer hata kama kakosea wamuache
 
Clinically ukimwi haujwahi kuua mtu...Bali magonjwa nyemelezi hivyo hata kama alikuwa na HIV hii haimaanishi Sam kafariki kwa HIV....sababu HIV kazi yake ni kupambana na kushusha kinga ya mwili then magonjwa nyemelezi kitaalamu wanaita opportunists disease ndio yanaua kama maralia, mafua, amiba, typhod e.t.c and not HIV.

Kwa hiyo mshkaji kafariki kwa maralia na sio ukimwi na ukimwi hajawahi kuua mtu hata siku moja kwa hili tusiusingizie.

Marehemu Sam amekufa Kwa maralia na UTI na sio HIV.

Hope you are in better place Sam.

Tangulia Sam, tunakuja!
Umenena kitaalamu sana, HIV hushusha kinga ya mwili, kinga ikishuka mtu anakuwa na upungufu wa kinga (UKIMWI), ambao upelekea magonjwa nyemelezi (opportunistic disease), na haya ndo hupelekea kifo. Hakuna ugonjwa unaoitwa UKIMWI unaoweza kumuua mtu.
 
Uchawi haupo. Kama upo nirogeni!

Hivyo unavyoviita vitabu vya dini ni mkusanyo wa riwaya tu.
Kwa watu wa maktaba, Biblia wanaicategorise kma general literature. Ni kitabu cha historia ya wananisraeli na Mungu wao and nothing else.
 
Kwa watu wa maktaba, Biblia wanaicategorise kma general literature. Ni kitabu cha historia ya wananisraeli na Mungu wao and nothing else.
Mimi nimesoma islamic seminary kun sheikh alikua anatembea na biblia katika kila page aliyosoma akiona hakimpendezi anazungushia pen nyekundu afu anaandika OONGO nk
Humo humo anaandika namba za simu ,majina ya vitu ,majina ya wachelewa msikitini
 
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa ajabu kiasi hicho?walitaka aseme kafa kwa presha[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]wanataka wakinafikie hadi kifo
Itakuwa ni Ugonjwa Wa ajabu sana Sio Kwa kuukana Hivyoo
 
BANZA STONE

LILIAN INTERNET

ASHA MADINDA

SAM WA UKWELI

Hawa wasanii kuna haja ya kuwapa elimu ya Ukimwi, wanajisahau sana kwakweli
Bendi ya Twangapepeta ndio wameisha kabisaa....
 
Imani potofu za kijinga na kipumbavu tu.

Uchawi haupo!

Ungekuwepo basi mimi ningekuwa nimesharogwa zamani sana maana wanaopenda nitokewe na mabaya ni wengi!
humu JF? sio watu hawakupendi umekuwa unaandika shits siku za karibuni watu hawakawii kukuchana!
 
Kifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
Hiyo ni kawaida mtu akifa lazima akumbukwe, hata wewe inawezekana ukawa na jirani ambaye siyo rafiki yako ila akifa utashiriki msiba wake inawezekana hata kaburi ukashiriki kumchimbia.
 
Back
Top Bottom