Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwenye jamii yetu ni zoezi gumu kwa kua hakuna hata kundi moja ambalo limewahi kukubali kuhusu ugonjwa huu mfano maskini,matajiri,wasanii,viongozi nk wote hatutaki kusema kweli kua tunaishi na VVU au ndugu zetu wamepoteza maisha sababu ya UKIMWI.
Kadri tunavofanya siri ndivyo baadhi yetu tunahisi huu ugonjwa haupo au kama upo basi kwa kiwango kidogo sana
 
Kwani jini anaehusika na maafa na magonjwa hayupo? Ukimwi wa kulogwa upo hata huu wa kisasa ni pepo tu kimetengenezwa kiaina.
 
Mficha maradhi kifo humuumbua.. vijana wa bongo flavor acheni uzinzi mtaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…