McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwenye jamii yetu ni zoezi gumu kwa kua hakuna hata kundi moja ambalo limewahi kukubali kuhusu ugonjwa huu mfano maskini,matajiri,wasanii,viongozi nk wote hatutaki kusema kweli kua tunaishi na VVU au ndugu zetu wamepoteza maisha sababu ya UKIMWI.
Kadri tunavofanya siri ndivyo baadhi yetu tunahisi huu ugonjwa haupo au kama upo basi kwa kiwango kidogo sana
Kadri tunavofanya siri ndivyo baadhi yetu tunahisi huu ugonjwa haupo au kama upo basi kwa kiwango kidogo sana