Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel.

Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan Younis.
 
Attachments

  • IMG_2928.jpeg
    IMG_2928.jpeg
    1.2 MB · Views: 28
Kama wao tu wanazika mfu bila kutangaza iweje wawe na ruhuma na wasio Hatia hawa wajaalana mazayuni?

🇮🇱🇵🇸 Haaretz: “The IDF has buried many soldiers who committed suicide since the start of the war without military funerals or announcements.”
 
Hawa wanaodhulumiwa uhai wanaenda peponi ila wauaji wataenda motoni.

Hata sisi tuliohai tumebakisha miaka michache tu ya kuishi. Kwa hiyo kufa siyo ishu maana ni lazima, ishu ni kuwa makazi yako baada ya kifo ni yapi?, maana kaburini ndo kuna muda mwingi zaidi.
Kaburini hakuna muda mwingi siku ya kufufuka utaona Kama ulilala nusu saa au dk 15 TU. Hivyo ndio miujiza Mwenyezi Mungu
 
Mwili unakaa kaburini ila kwa aliyemwamini Yesu kwa kutubu dhambi na kuishi maisha matakatifu akifa mifupa yake itakaa kaburini lakini roho yake itakuwa paradiso ikistarehe, lakini yule ambaye hakuwa amemwamini Yesu naye pia mifupa yake itakuwa kaburini ila roho yake itakuwa kuzimu yaani rumande ya roho za wenye dhambi akisubiria kwenda jehanamu baada ya kuhukumiwa na Mungu
 
Huwa ninawashangaa sana watu wanao furahia mauaji yanayofanywa na mayahudi. Wakati fulani Wapalestina wanastahili kabisa kujitetea dhidi ya mateso ya miaka nenda wanayo fanyiwa na hao mayahudi wasiyo hata na chembe ya ubinadamu.
 
Kaburini hakuna muda mwingi siku ya kufufuka utaona Kama ulilala nusu saa au dk 15 TU. Hivyo ndio miujiza Mwenyezi Mungu
The moment mtu anakufa roho inaacha mwili hapa duniani yaani kaburini ila roho ya marehemu huyo the moment inaacha mwili huwa kuna sehemu lazima iende ambapo ni either kuzimu au peponi.
 
Huwa ninawashangaa sana watu wanao furahia mauaji yanayofanywa na mayahudi. Wakati fulani Wapalestina wanastahili kabisa kujitetea dhidi ya mateso ya miaka nenda wanayo fanyiwa na hao mayahudi wasiyo hata na chembe ya ubinadamu.
Bora dhambi kuliko laana, dhambi husamehewa laana ni kupoteza rehema za .Mwenyezi Mungu na wao wanalijua Hilo walikikataa kitabu wakaunda Talmud inayowafundisha mauaji na ushenzi wayahudi wameungana na mazayuni kuendeleza ukafiri. Usihuzunike wao wanapigania dunia ambayo sio makazi ya kudumu Wana mentality za kizamani na watashindwa kote duniani na mbinguni.
 
The moment mtu anakufa roho inaacha mwili hapa duniani yaani kaburini ila roho ya marehemu huyo the moment inaacha mwili huwa kuna sehemu lazima iende ambapo ni either kuzimu au peponi.
Pepo Bado haijazijafunguliwa hivyo roho ziko katka barzak ambazo ni mfano TU wa pepo na kuzimu kulingana na matendo Yako, yakiwa mwema itakua katka area Kama pepo lakini pepo lazima uvae mwili
 
Israel inaua hata watu wasiohusika kisa una undugu na ndugu ambae yupo ktk kikundi cha Hamas nawe utaangamizwa mbaya zaidi wamemuua akiwa kalala na familia yake ktk hema na kuwaangamiza watoto wake 3 inauma sana.
 
Kama wao tu wanazika mfu bila kutangaza iweje wawe na ruhuma na wasio Hatia hawa wajaalana mazayuni?

🇮🇱🇵🇸 Haaretz: “The IDF has buried many soldiers who committed suicide since the start of the war without military funerals or announcements.”
Elewa ndugu kuna sheria zinazodhibiti mambo hayo!! Kisheria mtu akijinyonga,Akiua,akifanya Ugaidi hapewi hadhi ya kuzikwa kijeshi. Hilo liko wazi kabisa na kila mtu anajua hapa Israel sheria za kijeshi haziruhusu hata huko JWTZ hiyo hairuhusiwi kuzikwa kijeshi mtu aliyejinyonga.

Ngoja nikupe shule Bwana mdogo kuhusu askari kujinyonga hasa kipindi cha vita na baada ya vita kutokana na mazingira ya vitani askari wengi hupata ugonjwa unaoitwa Post-traumatic stress disorde (PTSD).

Kwa kifupi. Ugonjwa huo husababisha mfadhaiko na kiwewe (PTSD) ni hali ya afya ya akili ambayo husababishwa na tukio la kikatili la kusisimua sana au la kuogofya - ama kuwa sehemu yake au kulishuhudia. Dalili zinaweza kutokea nyingi, ndoto mbaya, wasiwasi mkali na mawazo yasiyoweza kudhibitiwa kuhusu tukio hilo.

Hicho ndicho kinasababisha askari wengi walioko au waliotoka vitani ma tukio haya ya kujinyonga hutokea kwa askari wengi kwenye vita na baada ya vita hayatokei tu Israel hata Marekani kwenye vita vya Ghuba haya yaliwatokea

Binafsi nimeshiriki vita nimeona matukio kama haya yakitokea huko nyumbani. Baada ya vita vya Kagera matukio mengi ya askari kujiua au kufanya ugomvi unaoweza kumpelekea yeye kufa au kuua watu wengine.
Hayo ni ya kawaida kabisa kwa askari

Kama huamini waangalie askari walioshiriki vita mara nyingi sana wana mapungufu( Isipokuwa Mimi) Makubwa hata kama amestaafu usishangae akafanya madudu ambayo hukutarajia mbele za watu wala usishangae huyo atakuwa na PTSD tu

Naamini umenielewa vizuri!!
 
Nimezungumzia kutangaza Mimi sio kuzikwa, wanaona haya kutangaza msururu wa wanaojinyonga huku Netanyau akila shisha...., ngoja tuone matokeo ya hizo PTSD hapo file mlima

"Israel" MP says all children in Gaza should be killed 🤬
 
Attachments

  • IMG_20250518_113518_272.jpg
    IMG_20250518_113518_272.jpg
    141 KB · Views: 32
Mungu mwema Zacharia Bado anaipigania uhai wake Bado haja kata kauli kabisa alhamdulillah

🚨UPDATE: Al Jazeera Mubasher correspondent reports: Dr. Zakaria Sinwar was initially declared dead by doctors, but upon arrival at the morgue, signs of life were discovered. He was immediately moved back for urgent care and is now fighting for his life in critical condition.
 
Huwa ninawashangaa sana watu wanao furahia mauaji yanayofanywa na mayahudi. Wakati fulani Wapalestina wanastahili kabisa kujitetea dhidi ya mateso ya miaka nenda wanayo fanyiwa na hao mayahudi wasiyo hata na chembe ya ubinadamu.
Nami huwa Nawashangaa sana waliokuwa wanafurahia Oct 07,2023 lakini leo hii wamekuwa watu wa kulalamika na kutia huzuni na kuhurumia wapalestina ambao walibaka, wakatesa, wakateka watu na kuua watu 1,200. Wakati huo huo hata hawazungumzii watu waliouwawa huko Israel wala hawasemi chochote kwa mateka waliotekwa na magaidi hao huko Gaza.

Hivi nyinyi watu mnapata wapi huruma ya kuwahurumia watu ambao wameteka nyara mpaka maiti wanatembea nazo hawataki kuzitoa zikazikwe na wapendwa wao wao wanadai mpaka walipwe hao ndiyo mnawaonea huruma?

Binafsi sijawasikia hata siku mkizungumzia mateso wanayoyapata Mateka wasio na hatia waliokamatwa na Magaidi wa hamas na kuingizwa kwenye mahandaki ambako hakuna jua wala Mwanga wala tu kusemea hata maiti tu wakazikwe badala yake mnaanza kulaumu aliyefanyiwa unyama huo binafsi Nawashangaa sana.

Baada ya Oct 07,2023 mlitaka majeshi ya Israel yaanze kuwagawia halua na Tende magaidi wa Hamas? Hebu Jaribu kuvaa uhusika kwenye tukio la Oct 07,2023 harafu uje hapa utuambie!!!!!!!!
 
Nimezungumzia kutangaza Mimi sio kuzikwa, wanaona haya kutangaza msururu wa wanaojinyonga huku Netanyau akila shisha...., ngoja tuone matokeo ya hizo PTSD hapo file mlima

"Israel" MP says all children in Gaza should be killed 🤬
Tatizo la PTSD ni janga la dunia huwezi kulikwepa nchi yoyote i kipigana vita majanga hayo yanatokea nakuambia hata hapa Tanzania yako mengi sana sema tu hawatangazi.

Umesema mbunge wa Israel anasema watoto wote wa Gaza wanapaswa kuuwawa huo ni Msimamo wake si wa Israel na maneno kama haya watu wengi wanayatumia kupotosha hali halisi na msimamo wa Serikali.
 
Back
Top Bottom