Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #21
Unajitoa ufahamu yaliyotokea Oct 07,2023 Hamas walivyoua kwako wewe unaona walifanya vizuri tu ilikuwa asubuhi wengine walikuwa wamelala na waliua familia nzima wewe hilo hata hujui maana umejazwa ujinga na Upumbavu mwingi!!Israel inaua hata watu wasiohusika kisa una undugu na ndugu ambae yupo ktk kikundi cha Hamas nawe utaangamizwa mbaya zaidi wamemuua akiwa kalala na familia yake ktk hema na kuwaangamiza watoto wake 3 inauma sana.