Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

Israel inaua hata watu wasiohusika kisa una undugu na ndugu ambae yupo ktk kikundi cha Hamas nawe utaangamizwa mbaya zaidi wamemuua akiwa kalala na familia yake ktk hema na kuwaangamiza watoto wake 3 inauma sana.
Unajitoa ufahamu yaliyotokea Oct 07,2023 Hamas walivyoua kwako wewe unaona walifanya vizuri tu ilikuwa asubuhi wengine walikuwa wamelala na waliua familia nzima wewe hilo hata hujui maana umejazwa ujinga na Upumbavu mwingi!!
 
Unajitoa ufahamu yaliyotokea Oct 07,2023 Hamas walivyoua kwako wewe unaona walifanya vizuri tu ilikuwa asubuhi wengine walikuwa wamelala na waliua familia nzima wewe hilo hata hujui maana umejazwa ujinga na Upumbavu mwingi!!
Sawa mkalidayo wa chanika naona umetetea hoja kwa povu kubwa sana as if nawe ulifiwa na watoto hiyo october 7
 
Ujumbe kwa Netanyau
Ahakikishe ana futilia mbali kizazi chote Cha magaidi hata wale ambao bado hawaja ona uso wa Dunia waishie uko uko
 
Huyo si rahisi kupona huyo lazima afe tu hakuna namna!!! Watamwekea Oxygen lakini lazima akate Kamba .

Maana Mabom aliyopigwa nayo Hassan Nasrallah, Mohamed Sinwar ndiyo hayohayo aliyopigwa Bwana mdogo Zacharia Sinwar!!!
 
Habari za mashoga siku zote ni kama maneno ya kanga

Jeshi la zisrael haliruhudu mtu kusogea pale vipi waseme wamekuta maiti yake hahaha, huo ni uwongo wa juu kabisa.

Kuhusu Abu Obaida chuma kipo hai na huyo mpaa mda hu Hamas hawakusema kafa sa tuwamini hao wa tangazaji wa mashoga Al Abriaaa hahahaha
 
Sura ya upole ila imejaa ugaidi,hii dini ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…