Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania.
kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒


Mungu Ibariki Tanzania
 
Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania.
kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒


Mungu Ibariki Tanzania
Kigaila au Salumu wamo humu watatupa mrejesho very soon
 
Itakuwa wanaendelea kuokoteza. Kwa vile approach yao ni tofauti na hawa wengine, itakuwa vigumu kukisia maendeleo. Aidha, kwa chama kidogo kama kile, chochote watakachopata kitawasaidia. Hata ACT Wazalendo ilianza taratibu. Hata TANU hivyo hivyo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom