Ndugu wajitafakari wanapotaka kutembelea watoto wao wenye familia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi.

Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada, kaka, watoto wa mjomba inabidi yeye aakeshe kijiweni sababu chumba kimoja.
 
Acha ujinga wewe watu wote hao walale chumba kimoja walichoachiwa na huyo bodaboda?
 
Siku hizi watu wameacha kutembelea ndugu zao hata kama wamefanikiwa kuwa na maisha mazuri, wanakula milo minne ya maana hakuna wa kuwatembelea. Maisha yamebadilika sana, ukioa utabaki na mke wako, watoto wako na kijakazi wenu mkila maisha kwenye jumba lenu la kifahari huko mliko. Ndugu wamechoka masimango na kuonekana ni mzigo
 
Mh seriously?wa wapi hao?
 
Aluta kontuanua hakuna kuringishiana nakusimangana sahizi.tumekubaliana kukutana misibani tu.
 
Shida iko kwa Bodaboda... .tunaswma boda boda boda hawana akili wanakuja kudhalilisha ndugu zao kwa ujinga wanajiona wametoboamjini.
 
Vijana wakiwa Dar wanapiga simu kijijini wanajifanya maisha mazuri.....Ndugu wakija sasa inakua aibu.
 
Ukiona hivyo, kijana huyo ndo tajiri wa familia.
Mpe moyo apambanie maisha zaidi aweze kujenga na kuwakaribisha wengi zaidi.....


Mimi nina mipaka ya kutembelewa na ndugu
 
Inasikitisha sana,umaskini ni janga
 
Yaan uliposema Bodaboda tayari nilishakinai. Hao ndg hata wao ni Ovyo square. Yaan Bodaboda hata angekuwa na Ghorofa kama Lile la PsPF siwez kuishi kwake. Akili zao wanazijua wao.

Kuna kipindi walijichetuaga sana wakidhani watakuwa Ma Stars. Wakaishia kupoteza ladha na kutukanwa mitandaono Redioni na kwenye TVs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…