Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,huyu anataka kulala tu usingiz mororo....ila kwa comments hizi za kutisha halali katu leoKuna jamaa nilisoma nae chuo..aliwahi dhihaki hvyo hvyo na haikupita wiki ...tukampost status alale salama
R.I.P. (rest in peace) ni kufa. Unatutangazia kifo chako. Huu ni uchuro isije ikatokea kweli.Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace
Usimuite mpumbavu jamani,nahisi alithread ili tucheke kidogokwamba hana ndugu, jamaa wala wapumbavu wenzake
Nimeamka muda huu nacheki movie moja inaitwa ATTACK ON FINLAND maana wana jf sio poa [emoji849][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana,huyu anataka kulala tu usingiz mororo....ila kwa comments hizi za kutisha halali katu leo
Kwa hiyo unataka kusema na huyu naye ni suala tu la siku mbili, tatu! Tutakula ubwabwa?Kuna jamaa nilisoma nae chuo..aliwahi dhihaki hvyo hvyo na haikupita wiki ...tukampost status alale salama
Sjasema hiloKwa hiyo unataka kusema na huyu naye ni suala tu la siku mbili, tatu! Tutakula ubwabwa?
Hapana,huyu anataka kulala tu usingiz mororo....ila kwa comments hizi za kutisha halali katu leo
Vumilia tu mkuu hata ukifa huko uendako nasikia hali ni ngumu kuliko hata huku duniani[emoji1787]Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace
Unaona sifa usilipende sana Hilo neno R.I.P wanatamkiwa wafuNdugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace
R. I. PNdugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?