Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
- Thread starter
- #41
Kiongozi wataka tuelezane neno Kwa neno, ukisoma hicho kifungu Cha maneno huwez kupata picha kuwa nimemaanisha Nini?Kuna mahali umeandika " NIKAMPA MTAJI ". sasa kama mtaji ulimpa hata faida nayo niyakwake sema umemnyang'anya faida na mtaji...
Maelezo yako tuu yameshakufunga hata akikusema ni sawa.
Ungesema nilimkopa mtaji na kisha nikachukua na riba yangu...
Sa Nilimkopa mtaji ndo Nini? Emu nenda kwenye mada bhana acha kukompliketisha mambo.
Wewe hujaelewa au unataka ubishi tu? Makubaliano yalikuwa nimpe mtaji afanyie kazi, sio nimkopeshe