Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kiongozi, kama makubaliano yalikuwa hivoWewe ni dhulumati, mlikubaliana nusu kwa nusu, mpe haki yake dogo
hujui kiongozi, hii ilibidi tu ipatikane.. kuna mwingine mbaki nilimpa ela zaidi yake na nimepata faida mara 3 ya hiyo ila yeye nimempa nusu ya niliyompa dogo na tumemalizana fresh..Huyo syo wa kumuacha,nahisi na haya maamuzi kama hamjafanya na mkeo mkiwa chumbani sijui. Mkuu mnapata mapaka faida na unamucha? Hii ni maajabu
angesema sasa, au angeniambia bro umenipa kidogo naomba uniongeze.. sasa yy ameenda kunichongea kwa wazazi ndo ninIlitakiwa umpe mtaji umuongoze akishajua ukae pembeni
Au umuoneshe njia ajitafutie mwenyewe mtaji
Kwa unayo fanya sasa anaona unamfanya kama cheap labour
hujui kiongozi, mimi kwenye biashara zangu siwezi kukubaliana na mtu tufanye biashara alafu faida tugawane pasupasu wakati 100% mtaji ni wangu.. hii biashara ilitokea tu kama bahati kuleta faida kubwa kiasi hicho sema ameweweseka na hiyo ela akapiga hesabu kuwa nikimpa nusu atafanya mishe zakeMkuu hiyo NI asset usimuache
Nenda na makubaliano
Siku ya pili rekebisha makubaliano mwambieanyetoa msingi anapata kikubwa
Tatu kufanya kazi na ndugu NI lawama Ila ukipata kufanya kazi na ndugu mwenye misimamo Kama huyo ni NZURI
Nne mkuu huyo ana mipango yake akipata pesa na mshakubaliana mkipata faida mtagawana nusu kwa nusu mfano Kama alipanga anunue kiwanja akipata faida na kweli mmepata ssa usipompa utakuwa umemrudisha nyuma kimaendeleo pili ankuona wwe mbabaishaji sio mtu wa kuishi katika ahadi
Tano mlipe hela zake muendelee na kazi hiyo mbona IPO mkuu hata maofisini mshakubaliana utalipwa nusu mshahara ndani ya miezi mitatu baada ya miezi inayofuata utalipwa fedha kamili ssa muajiri asipofata hayo makubaliano muajiriwa lazima alalamike
Sita mkuu au ulitaka akusainishe mkataba ndo ujue Kama alikuwa sirias na maneno yako
Sita usijikweze kwenye ahadi ambazo huwezi kuzitimiza
SABA HILI NDO LA UMUHIMU ZAIDI
NIPE NAMBA ZAKE NIFANYE NAYE KAZI UONE KAMA ATALALAMIKA HOVYO
ISHI KWENYE MAKUBALIANO
Mtu asie heshimu makubaliano simpendi kinomaAslaam,
Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,
Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.
Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.
Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.
Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.
Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.
Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?
Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.
Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.
Mkuu sijakata Hilo halipo mtaji atoe mwingine faida mgawane nusu Ila jamaa yetu alikurupuka kusema faida watagawa nusu angempa nusu yake na yeye akachukuwa nusu yake wangeweka makubaliano mengine sio unamtuma mtu anajitoa kwa kila kitu mwisho wa siku hutimizi ahadihujui kiongozi, mimi kwenye biashara zangu siwezi kukubaliana na mtu tufanye biashara alafu faida tugawane pasupasu wakati 100% mtaji ni wangu.. hii biashara ilitokea tu kama bahati kuleta faida kubwa kiasi hicho sema ameweweseka na hiyo ela akapiga hesabu kuwa nikimpa nusu atafanya mishe zake
Huyu niliekoment hivi ni mim mwenyew kiongozi, hakuna sehem nimesema tulikubaliana iwe nusu Kwa nusu.. isipokuwa ile biashara ya mwanzo niliona tumepata faida kidog saana nikaamua tu niigawe kati ila hatukuwa na makubaliano hayo kiongoziMkuu sijakata Hilo halipo mtaji atoe mwingine faida mgawane nusu Ila jamaa yetu alikurupuka kusema faida watagawa nusu angempa nusu yake na yeye akachukuwa nusu yake wangeweka makubaliano mengine sio unamtuma mtu anajitoa kwa kila kitu mwisho wa siku hutimizi ahadi
Tujitahidi kuishi kwenye kauli zete jamani
Owkay kila la heriHuyu niliekoment hivi ni mim mwenyew kiongozi, hakuna sehem nimesema tulikubaliana iwe nusu Kwa nusu.. isipokuwa ile biashara ya mwanzo niliona tumepata faida kidog saana nikaamua tu niigawe kati ila hatukuwa na makubaliano hayo kiongozi
Kuna mahali umeandika " NIKAMPA MTAJI ". sasa kama mtaji ulimpa hata faida nayo niyakwake sema umemnyang'anya faida na mtaji...Aslaam,
Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,
Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.
Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.
Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.
Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.
Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.
Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?
Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.
Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.
Fukuza hiyo takataka irudi kijijini!Aslaam,