Ndugu wana lawama sana

Ndugu wana lawama sana

Mkuu hiyo NI asset usimuache

Nenda na makubaliano

Siku ya pili rekebisha makubaliano mwambieanyetoa msingi anapata kikubwa

Tatu kufanya kazi na ndugu NI lawama Ila ukipata kufanya kazi na ndugu mwenye misimamo Kama huyo ni NZURI

Nne mkuu huyo ana mipango yake akipata pesa na mshakubaliana mkipata faida mtagawana nusu kwa nusu mfano Kama alipanga anunue kiwanja akipata faida na kweli mmepata ssa usipompa utakuwa umemrudisha nyuma kimaendeleo pili ankuona wwe mbabaishaji sio mtu wa kuishi katika ahadi

Tano mlipe hela zake muendelee na kazi hiyo mbona IPO mkuu hata maofisini mshakubaliana utalipwa nusu mshahara ndani ya miezi mitatu baada ya miezi inayofuata utalipwa fedha kamili ssa muajiri asipofata hayo makubaliano muajiriwa lazima alalamike

Sita mkuu au ulitaka akusainishe mkataba ndo ujue Kama alikuwa sirias na maneno yako

Sita usijikweze kwenye ahadi ambazo huwezi kuzitimiza

SABA HILI NDO LA UMUHIMU ZAIDI
NIPE NAMBA ZAKE NIFANYE NAYE KAZI UONE KAMA ATALALAMIKA HOVYO

ISHI KWENYE MAKUBALIANO
 
Huyo syo wa kumuacha,nahisi na haya maamuzi kama hamjafanya na mkeo mkiwa chumbani sijui. Mkuu mnapata mapaka faida na unamucha? Hii ni maajabu
hujui kiongozi, hii ilibidi tu ipatikane.. kuna mwingine mbaki nilimpa ela zaidi yake na nimepata faida mara 3 ya hiyo ila yeye nimempa nusu ya niliyompa dogo na tumemalizana fresh..
 
Mkuu hiyo NI asset usimuache

Nenda na makubaliano

Siku ya pili rekebisha makubaliano mwambieanyetoa msingi anapata kikubwa

Tatu kufanya kazi na ndugu NI lawama Ila ukipata kufanya kazi na ndugu mwenye misimamo Kama huyo ni NZURI

Nne mkuu huyo ana mipango yake akipata pesa na mshakubaliana mkipata faida mtagawana nusu kwa nusu mfano Kama alipanga anunue kiwanja akipata faida na kweli mmepata ssa usipompa utakuwa umemrudisha nyuma kimaendeleo pili ankuona wwe mbabaishaji sio mtu wa kuishi katika ahadi

Tano mlipe hela zake muendelee na kazi hiyo mbona IPO mkuu hata maofisini mshakubaliana utalipwa nusu mshahara ndani ya miezi mitatu baada ya miezi inayofuata utalipwa fedha kamili ssa muajiri asipofata hayo makubaliano muajiriwa lazima alalamike

Sita mkuu au ulitaka akusainishe mkataba ndo ujue Kama alikuwa sirias na maneno yako

Sita usijikweze kwenye ahadi ambazo huwezi kuzitimiza

SABA HILI NDO LA UMUHIMU ZAIDI
NIPE NAMBA ZAKE NIFANYE NAYE KAZI UONE KAMA ATALALAMIKA HOVYO

ISHI KWENYE MAKUBALIANO
hujui kiongozi, mimi kwenye biashara zangu siwezi kukubaliana na mtu tufanye biashara alafu faida tugawane pasupasu wakati 100% mtaji ni wangu.. hii biashara ilitokea tu kama bahati kuleta faida kubwa kiasi hicho sema ameweweseka na hiyo ela akapiga hesabu kuwa nikimpa nusu atafanya mishe zake
 
Aslaam,

Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,

Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.

Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.

Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.

Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.

Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.

Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?

Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.

Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.
Mtu asie heshimu makubaliano simpendi kinoma
 
hujui kiongozi, mimi kwenye biashara zangu siwezi kukubaliana na mtu tufanye biashara alafu faida tugawane pasupasu wakati 100% mtaji ni wangu.. hii biashara ilitokea tu kama bahati kuleta faida kubwa kiasi hicho sema ameweweseka na hiyo ela akapiga hesabu kuwa nikimpa nusu atafanya mishe zake
Mkuu sijakata Hilo halipo mtaji atoe mwingine faida mgawane nusu Ila jamaa yetu alikurupuka kusema faida watagawa nusu angempa nusu yake na yeye akachukuwa nusu yake wangeweka makubaliano mengine sio unamtuma mtu anajitoa kwa kila kitu mwisho wa siku hutimizi ahadi

Tujitahidi kuishi kwenye kauli zete jamani
 
Huyu niliekoment hivi ni mim mwenyew kiongozi, hakuna sehem nimesema tulikubaliana iwe nusu Kwa nusu.. isipokuwa ile biashara ya mwanzo niliona tumepata faida kidog saana nikaamua tu niigawe kati ila hatukuwa na makubaliano hayo kiongozi
 
Aslaam,

Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,

Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.

Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.

Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.

Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.

Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.

Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?

Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.

Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.
Kuna mahali umeandika " NIKAMPA MTAJI ". sasa kama mtaji ulimpa hata faida nayo niyakwake sema umemnyang'anya faida na mtaji...

Maelezo yako tuu yameshakufunga hata akikusema ni sawa.

Ungesema nilimkopa mtaji na kisha nikachukua na riba yangu...
 
Aslaam,

Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,

Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.

Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.

Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.

Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.

Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.

Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?

Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.

Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.
Fukuza hiyo takataka irudi kijijini!
 
Back
Top Bottom