Ni wachache sasa.Sio wote jamani wapo ndugu wazuri tu ila asiwe ndugu njaa
Akiwa vizuri yy mwenyewe hata mawazo atakayokupa yatakuwa mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
You made the point. Jilipe kwanza wewe mwenyewe, wengine baadayeUsimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.
Hii ni kweli kabisa. Ishi unavyowezaNikweli huwezi kumfurahisha kila mtu
Nikweli sio wote je wewe umewai kumfanya ndugu yako bank? Kama hujawai uwezi jua ubaya wakeSio wote jamani wapo ndugu wazuri tu ila asiwe ndugu njaa
Akiwa vizuri yy mwenyewe hata mawazo atakayokupa yatakuwa mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua sidate na dem yoyote yule wa town.huyo manzi tu wa uswazi wakupiga na kusepaAhaaaaaaa mzee ulikuwa una date na beki tatu kutoka nanjilinji!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
☝️Mkuu mbona Kama unanisema hivi nimemkopa ndugu yangu laki tano duu! Nimedai naambiwa mi Sina utu!! Na familiar nzima imenigeuka Bora kuishi kivyakovyako!! Yaani ninahasira hela ya mtaji ndo hiyooo! Siipati Tena nimeamua kuanza na hi iliyopo! Mbaya zaidi mke ananibana hela iko wapi sikumshirikisha. Naiona dunia chungu Sana
Hahahahahaha.mkuu acha basi eti ndugu uchwaraaKwanza Sipendi kukaa karibu na ndugu yeyote bora nikaishi hata simiyu ndani ndani huko kuliko kuishi karibu na ndugu uchwara
Sent using IPhone X
Ila kweli. Aisee sipendi mwanamke ambae anatoa taarifa zangu nje ya uhusiano wetu, iwe kwa ndugu zake ama ndugu zangu dah sipendi....mke au mume anaeza kutoa siri kwa mtu anaemuamini.
Pamoja na lengo kufanikiwa lakini ulichokifanya kilikua na risk kubwa sana, you just don't know!Poleni sana aiseee.
Mimi dada yangu kabla ya kuoa nilikuwa nampa pesa yangu ya upatu aniwekee maana nikikaa nazo mara ntanunua vitu nisivyokuwa na bajeti navyo.
Nakumbuka akaniwekea pesa zangu zaidi ya milioni tigopesa baada ya mda nikazihitaji nikaenda kutafutia ardhi na kutolea mahari.
Alinitunzia ile pesa na yeye sio tajiri siku ingine ya kula inampiga chenga,ila hakunidhulumu hata mia moja.
Ndio maana nasema haya mambo hayana formula pengine ndugu yako akakuliza na mwingine akakusaidia.
Muhimu mtu aangalie hali ya ndugu,kama anatunza amana basi sio mbaya na kama hatunzi usimpe
Hata mke na mume mtu aangalie kama anatunza ampe kama hatunzi amana asimpe
Ww bado mtoto hujui matatizo yan wadogo zako wamekosa ada ya shule ww pesa unazo unakausha tuKweli usisaidie ndugu yoyote yule, wacha wafie mbele huko, hata simu zao usipokee kabisa
Nitawasaidia ndugu zangu mpaka naingia kaburin yan ndugu zangu wapate shida na mm mungu kanijalia vijisenti potelea pote furaha yangu furaha yao piaSalaaam.
Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.
Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.
Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.
Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.
Tujitaidi kunawa mikono kwa maji safi na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa.