Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Salaaam.

Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.

Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.
images(1).jpg

Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.

Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.
 
Mimi nikishaweka pesa chimbo hata ulie machozi ya damu hupati hata kumi hata mimi mwenyewe kama pesa nimeshaipangia naifanyia kitu fulani ikitokea dharura bora nikakope sisi wapare unazaliwa ukiwa bahili uliyekamilika kabisa Tabisco

Sent using IPhone X
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ni asili yenu nyinyi huwezi kuacha huitaji mafunzo wala uzoefu
 
Mimi nikishaweka pesa chimbo hata ulie machozi ya damu hupati hata kumi hata mimi mwenyewe kama pesa nimeshaipangia naifanyia kitu fulani ikitokea dharura bora nikakope sisi wapare unazaliwa ukiwa bahili uliyekamilika kabisa Tabisco

Sent using IPhone X
Hahahah kuna kademu jion kamenitext..

Mambooo

Uko poa mkakaa.

Niazime Laki moja hapa.

Nikakajibu ivi

"(Hahahaha nyinyi mkiazimishwa au kukopeshwa Huwa hamrudishi ,Bahati mbaya wewe sio mpenzi wangu niseme naweza kusamehe Ila nikala mzigo.)"

Alafu kuna haka Ka tabia, Unakuta demu mshaachana, yaan ni Ex Ila anataka kukupiga kirungu...( daaahhh tunatiana dhambi nakuonekana wabaya).

Kamenikaushia ...namm nmechukulia poa tu ili mradi sijapoteza !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂hawara hakopeshwi pesa utajuta
 
Back
Top Bottom