Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
- Thread starter
- #21
😜😜😜😜pole sana hao ndio ndugu kuipata kwake sasa iyo pesa unaanzaje anzaje kwamfanoNilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.