Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
😜😜😜😜pole sana hao ndio ndugu kuipata kwake sasa iyo pesa unaanzaje anzaje kwamfano
 
Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
Pole sana Mkuu...jifunze kutunza pesa mwenyewe...ugumu uko wapi?...kwa nini usiweke pesa bank!...au hata kwenye simy yako basi...hivi ikitokea bahati mbaya huyo Ndugu akafariki inakuaje?
 
wengine mioyo yetu milaini sana hatuwezi kunyima ndugu wanapohitaji msaada...yaani kama ndo una kaakiba chako hlf mtu anakulilia shida, unaona roho inakusuta usipompa huku ukijua kuwa akiba ipo kdg japo we mwenyewe haikutoshelezi

Na mbaya ni kwamba hata ndugu umsaidie kila atapohitaji msaada, siku ukimwambia sina basi utaonekana mbaya au umeanza roho mbaya, au utaonekana umewachoka..

Kweli ndugu lawama...na ukiwaendekeza kweli wanarudisha nyuma, sema kwa kuwa Mungu kakujaalia chochote kitu huna budi uwabariki watu wake pia...
 
Hahahah kuna kademu jion kamenitext..

Mambooo

Uko poa mkakaa.

Niazime Laki moja hapa.

Nikakajibu ivi

"(Hahahaha nyinyi mkiazimishwa au kukopeshwa Huwa hamrudishi ,Bahati mbaya wewe sio mpenzi wangu niseme naweza kusamehe Ila nikala mzigo.)"

Alafu kuna haka Ka tabia, Unakuta demu mshaachana, yaan ni Ex Ila anataka kukupiga kirungu...( daaahhh tunatiana dhambi nakuonekana wabaya).

Kamenikaushia ...namm nmechukulia poa tu ili mradi sijapoteza !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ulikuwa unamuuliza kijanja kama akishindwa kulipa atatoa mzigo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine mioyo yetu milaini sana hatuwezi kunyima ndugu wanapohitaji msaada...yaani kama ndo una kaakiba chako hlf mtu anakulilia shida, unaona roho inakusuta usipompa huku ukijua kuwa akiba ipo kdg japo we mwenyewe haikutoshelezi
Na mbaya ni kwamba hata ndugu umsaidie kila atapohitaji msaada, siku ukimwambia sina basi utaonekana mbaya au umeanza roho mbaya, au utaonekana umewachoka..

Kweli ndugu lawama...na ukiwaendekeza kweli wanarudisha nyuma, sema kwa kuwa Mungu kakujaalia chochote kitu huna budi uwabariki watu wake pia...
Usiwazoeshe kuwapa kila wanapoitaji wakati usihofie wambie sina
 
Back
Top Bottom