Ndugu wananiita mchawi wakati walilelewa na baba yangu mzazi

Atakayekupa kibarua atakua ameamua kuchagua hasara. Najua baada ya wiki au mwezi tutasikia kuwa umeamua kujiua.
 
Umesoma udsm na degree yako ila mwandiko hata don kisandu anakushinda. Story ya uongo hii
 
😀😀😀 miaka 37 unapigania mama yako aachike ili mgao wake ukusaidie kupata mtaji? Hata mimi naungana na hao ndugu zako,we jamaa MCHAWI.
 
Kwa akili zako hizo ni wazi sehemu salama kwako ni mirembe au CCM
 
Ungana na baba ako najua mzee wako ni kichwa sana na yulo huku
 
Kwani wewe unataka kumuoa mama yako? ona sasa karudi kwa mumewe amekuacha solemba, naye hivi punde tu atakuita mwanga!! we ni wa hovyo kuliko, nenda huko chamani wakupe kazi!!!
 
Unajitahidi kutafuta attention, sijasoma siredi
 
Nilipoanza kusoma tu nikajua kuna tatizo sehemu ikanibidi nikimbilie kuona jina la mleta mada,lahaula kumbe ni kikohozi.
 
Ndiyo maana mnaitwa wachawi, hata jina lako lina walakini. Kikoozi ndiyo nini?
 
nadhani ofisi ya kata walikus sahihi kukuita huna akili timamu
 
tatizo la humu ndani ukieleza shida watu watakunanga mpaka ukome, huyu bwana anapitia wakati mgum nilichogundua kashindwa tu kuupangilia vizuri ujumbe wake ukaeleweka akasaidika, maana ukiangalia tittle na content ni mbingu na ardh bt hili nadhani linachangiwa na stress zinazomkabili, pleas achen kumjudge zaid coz huku kaja kutaka msaada.

mwenye kazi ama conection ya kaz mpeni.
 
Chai hii. Anawa enjoy. Miaka 37 upo home na degree ya udbs Kwanza aliipatia wapi UDBS kwa umri wake ilikua haipo. Mwandiko Kama darasa la tatu C.

Huyu muongo wa level ya ccm hapo anataka kufikisha ujumbe kupigia ccm.
 
Wako sahihi wew ni mchaw kwanza unafurahia wazaz kutengana pili Miaka 37 huna Ajira na bado unakipenda chama

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huo uchawi si uuache tu
 
Wanakuita mchawi au mchawi kweli,acha hizo wewe... !
 
Sasa huo uchawi si uuache tu.
Hiyo degree uliipata mwaka gani?
Njoo nikutoe mapepo utapata akili timamu na utajua kuandika vizuri hatimaye utapata ajira Ubalozi wa Ufaransa.
Kuna kijana mmoja wa CCM nilimtoa mapepo sasa ameajiriwa US. Embassy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…