Ndugu wananiita mchawi wakati walilelewa na baba yangu mzazi

Atakayekupa kibarua atakua ameamua kuchagua hasara. Najua baada ya wiki au mwezi tutasikia kuwa umeamua kujiua.
 
Umesoma udsm na degree yako ila mwandiko hata don kisandu anakushinda. Story ya uongo hii
 
😀😀😀 miaka 37 unapigania mama yako aachike ili mgao wake ukusaidie kupata mtaji? Hata mimi naungana na hao ndugu zako,we jamaa MCHAWI.
 
Kwa akili zako hizo ni wazi sehemu salama kwako ni mirembe au CCM
 
Ungana na baba ako najua mzee wako ni kichwa sana na yulo huku
IMG_20200825_233349.jpeg
 
Kwani wewe unataka kumuoa mama yako? ona sasa karudi kwa mumewe amekuacha solemba, naye hivi punde tu atakuita mwanga!! we ni wa hovyo kuliko, nenda huko chamani wakupe kazi!!!
 
Unajitahidi kutafuta attention, sijasoma siredi
 
Nilipoanza kusoma tu nikajua kuna tatizo sehemu ikanibidi nikimbilie kuona jina la mleta mada,lahaula kumbe ni kikohozi.
 
Ndiyo maana mnaitwa wachawi, hata jina lako lina walakini. Kikoozi ndiyo nini?
 
nadhani ofisi ya kata walikus sahihi kukuita huna akili timamu
 
tatizo la humu ndani ukieleza shida watu watakunanga mpaka ukome, huyu bwana anapitia wakati mgum nilichogundua kashindwa tu kuupangilia vizuri ujumbe wake ukaeleweka akasaidika, maana ukiangalia tittle na content ni mbingu na ardh bt hili nadhani linachangiwa na stress zinazomkabili, pleas achen kumjudge zaid coz huku kaja kutaka msaada.

mwenye kazi ama conection ya kaz mpeni.
 
Chai hii. Anawa enjoy. Miaka 37 upo home na degree ya udbs Kwanza aliipatia wapi UDBS kwa umri wake ilikua haipo. Mwandiko Kama darasa la tatu C.

Huyu muongo wa level ya ccm hapo anataka kufikisha ujumbe kupigia ccm.
 
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 37 kwetu tumezaliwa 2 tu, ila kuna ndugu zangu kama wanne (4) walilelewa na baba yangu mzazi katika makuzi yao, baada ya baba yangu kunifukuza nyumbani miezi 5 sasa imepita kisa tu nilimbembeleza kujiunga na chama changu cha mapinduzi, vile vile kupelekea kumfukuza na mama yangu pia ambaye alikuwa mara kwa mara uenda kudhulia vikao vya chama chetu cha mapinduzi, mimi nilimshauri mama yangu aende mahakaani kudai taraka ili waachane na baba wagawane maali ili mimi na mama tukatafute sehemu yetu tukae tuepukane na manyanyaso ya baba

Mama baada ya kuondoka kwa baba alikuwa akikaa kwa dada yake ambaye anaishi maeneo ya kijichi, sasa siku ya jumamosi mama alinipigia simu kuwa anaenda kwa baba kudai taraka, baba akikataa kumpa taraka moja kwa moja anaenda mahakamani, siku ya jumapili mama alienda moja kwa moja nyumbani kwa baba kudai taraka, ila kilichotokea ni kuwa mama tangu aende kwa baba pale nyumbani hajanijulisha chochote kile na nilikuwa nikipiga simu hapokei, jana jioni ndio aliniambia kuwa basi ameghailisha mambo ya taraka, ndugu zangu niliishiwa nguvu sana maana mama uwa ananisikiliza sana kwa kila kitu, nikahisi ndugu zangu watakuwa wanamchezea kiuchawi

Kumbukeni ndugu zangu sina kazi wala kibarua nahishi kwa marafiki tu, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yeyote yale nina degree ya marketing nimesoma pale UDSM-UDBS, nilitegemea iyo ela ya mama akigawana maali na baba baada ya kupewa taraka na mimi nipatepo mtaji, nimeumia sana ndugu zangu, mpaka kupelekea ndugu wa upande wa baba kuniita mimi mchawi

Naombeni mwenye kazi yeyote anisaidie ndugu zangu napitia hali ngumu sana kimaisha na baba hanitaki kabisa kwake kisa tu nipo chama cha mapinduzi na alinitimua wakati mimi ni mtoto wa pekee wa kiume kwake, nilishamshtaki ofisi za kata ila kata wakasema mimi sina akili timamu, na najua baba aliwapa pesa wale viongozi wa ofisi ya kata ili kunikomoa na kuto kunisikiliza malalamiko yangu

Kwa sasa nipo Dar es Salaam boko. Mwenye connection anisaidie
Sasa huo uchawi si uuache tu
 
Wanakuita mchawi au mchawi kweli,acha hizo wewe... !
 
Sasa huo uchawi si uuache tu.
Hiyo degree uliipata mwaka gani?
Njoo nikutoe mapepo utapata akili timamu na utajua kuandika vizuri hatimaye utapata ajira Ubalozi wa Ufaransa.
Kuna kijana mmoja wa CCM nilimtoa mapepo sasa ameajiriwa US. Embassy
 
Back
Top Bottom