A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 211
- 376
Miaka 37 Bado Unaishi Nyumban Kwa Wazazi?
1. Unalishwa?
2. Hauna Kazi, Uko Busy Na Chama?
3. Unamshtaki Mzee Halaf Unaishi Kwakwe?
4. Unamshauri Mamaako Akomae Na Chama Kuliko Ndoa Yake?
5. Unamshauri Mama Ako Avunje Ndoa Coz Li Chama?
6. Unamshaur Mama Adai Talaka Ili Upate Mgao Wa Mali Kptia Mama?
7. Unaleta Sheria Zako Kwenye Mji Usiokua Wako (nyumban Kwenu)
= Mzee Hajakosea Kukufukuza Kama Mbwa Koko. Na Hao Ndgu Wamekupa Jina Dogo (mchawi), Wangelikuita Mzimu Kabisa..