Diego Santana
Senior Member
- May 10, 2025
- 147
- 218
Wana lawama sana hao wadau wa kishuaπ
MBONA NI KAMA UNAHAHANGAIKA NA HUYO NDUGU WA KISHUA.
KWANI NI LAZIMA UWE NAE KARIBU AU PIA LAWAMA ZAKE ZA KUWA UKO MBALI NAE ZITAKUATHIRI?
MIMI NAONA TATIZO WEWE WALA SIO NDUGU WA KISHUA
usikae mbali na ndugu wa kishua...unaweza kupata madili ndugu yanguNdugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa.
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority complex inakusumbua kwa kuwa wao matajiri na wewe ni masiki hivyo unawaonea wivu.
Yaani ni changamoto sana hawa binadamu wenzetu. Yaaani ni ndugu lawama. Rafiki unaweza ukavunja urafiki, ndugu Je kama hawa??
Achana naoWana lawama sana hao wadau wa kishua
Ninaishi maisha yangu sawa, sasa tukikutana katika harusi na misiba, yaani full lawama.Achana nao
Lawama zake zinakuathiri mkuu.
Siushi maisha yako.
Hii mbinu safi sana mkuuMkuu ww mpaka umri huo bado hujajua kudeal na mtanzania.
Mtu ambae hajakutafuta kwa miezi sita anakuuliza mbona humtafuti????
Yaani anajihami
Kiufupi bongo unatakiwa kukaa katikati au kuwa mnafiki
Sometimes weka salio wapigie tu wote wasalimie hata unajua kabisa hawakukubali ili wakose cha kusemea
Kwanini wao wasikitafute? wapotezeeNinaishi maisha yangu sawa, sasa tukikutana katika harusi na misiba, yaani full lawama.
Mimi ni bus conductor ndio kazi yanguUna kazi? Fanya kazi.
Sweetheart wangu huyoo jamani. Umekuja tena kipenzi cha moyo wangu. Sitaacha kukupenda my love..Kuwa bize na mambo yako, fanya mambo yako.....
Hivi we ni mgonjwa wa akili au πππSweetheart wangu huyoo jamani. Umekuja tena kipenzi cha moyo wangu. Sitaacha kukupenda my love..
Sitaacha kukupenda milele na milele. Nitafungua IDs 1,000 zote kwa ajili yako. Uki block moja nakufuata kwa kutumia nyingine.Hivi we ni mgonjwa wa akili au πππ
SawaSitaacha kukupenda milele na milele. Nitafungua IDs 1,000 zote kwa ajili yako. Uki block moja nakufuata kwa kutumia nyingine.