Ndugu yako anafiwa Mtoto Oct 29, Unatoa pole Novemba 14?

Ndugu yako anafiwa Mtoto Oct 29, Unatoa pole Novemba 14?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto.

Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa.

Ghafla Nov. 14 baada ya kusemwa na majirani Unatoa pole!!

Huu ni unafiki Grade 1.
 
Pole ya kuandikiwa!.
 
Si ni waharifu, mnatoaje pole?
 
Maji yapo shingoni, nimeamini watawala wengi mawazo yao ni kabla ya mapinduzi ya teknolojia, walifikiri kuzima internet basi ukatili wao waliokuwa wanaufanya miaka hyo ya zamani yatabaki gizani…mambo yamegeuka, vitu hadharani, sasa hofu zimewajaa, wanapata pressure kutoka kwa wananchi wao na mataifa ya nje, mbaya zaidi baadhi ya waliopo kwenye vyombo vya dola, wameshatoa hadi coordinates ya sehemu walipofukia miili ya watu.

Mpasuko kwenye vyombo vya usalama na ulinzi ni mkubwa, kwa wananchi ndo hapafai kabisa, hii ni hatari sio kwa uyu mama tu bali kwa genge lote la CCM, wanatafuta kila njia ya kurudisha vitu kwenye hali yake, ila haiwezekani sababu wahusika wameanikwa kwenye public, yaani serikali yote imeoza, namba 1 anatakiwa kuondolewa.
 
Mi ndio maana sitaki hata kupoteza muda kuchangia kwenye hizo threads zao ambazo zina post hotuba yake.

Tulipaswa kuungana kususia aina hiyo ya mijadala ili kufunika propaganda zao za kutuweka busy kujadili hotuba tutoke kwenye focus muhimu itayompa nafasi ya kupumua.

Haitakiwi aone maisha yamekuwa kawaida, haitakiwi apate amani.

Anatakiwa apitie kipindi kigumu kama tulichopitia sisi kuanzia 29 October - 04 November.

Anatakiwa ajue katika makosa makubwa aliyowahi kuyafanya na yanamgharimu ni pamoja na kilichotokea kwenye tarehe tajwa hapo.

Hiki kipindi tulitakiwa tuwe busy kujadili mwitikio wa mataifa na watu mashuhuri kushinikiza uwajibikaji kwa kilichotokea.

Ilitakiwa tu focus na harakati mpya za kui pressure hii serikali itambue kuwa damu za watu zilizopotea haziwezi kupuuzwa kwa mameno matamu.
 
Back
Top Bottom