Hio ndio siri ya biashara mkuu inataka ujitoe 100% haitakiwi uwe na options, na huyo jamaa yako anajua vizur biashara ..kinachohitajika wew ni uchague ARE U YOU IN OR OUT biashara haihitaji mguu ndan mguu nje inakuhitaji muda wote hadi pale itakapotengemaaAnasema eti nikiendelea kufanya kazi sintakuwa committed na jambo nitakaloanzisha, kwa kuwa always ninakuwa najua hata nikivurunda bado nina kazi yangu. Anasema lazima nitambue factor ya risk - kwamba nikizifuja sina cha kusimamia, na sina kazi tena, ndio maana anasema nikifilisika ni shauri yangu
Ushauri wangu wekeza ktk field ambazo znaendana na hio kaz ulioajiriwa nayo