Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Busara za Mzee Bujibuji.1. Acha kazi
2. Chukua mil 200
3. Nitafute nikupeleke kwa pisi Kali na viwanja high class.
4. Hela ikikata, tafuta kazi tena
Nyumba tunayo Mkuu, huo mtihani nilishamaliza
That is really great. Nadhani humu JF nitafika, naanza kuona mwanga mwisho wa tunnelJipe muda
Jiulize unafanya kazi kwa sababu gani
Hela?heshima?huna options?
And test each theory
Km usingekua na kazi ungefanya biashara gani ungeifanyaje?
Kwanini?unaipenda?utaiweza?
Vyote hivyo ni vitu tofauti
Kitu cha moyoni can go a long way
Jiulize why za kutosha!.,
Ni hela ndogo kwenye bussness yaani unatakiwa utulize akili sana maana unaenda kufanya kitu ambacho hujawahi kukifanya na kikupe mrejesho ni kama wastaafu wanavyopoteza hela kwenye bussness.Yaani kuna jamaa kaniambia exactly maneno haya. Kwamba Tshs 200 ni hela ndogo sana I have to be very careful nisi rush kuamua
Okay, ila kumbuka nikiichukua hiyo hela maanake sina kazi. Ila uzuri kuna hii nyingine ya mafaoChukua hiyo hela alafu weka kwamza fixed deposit huku ukiwaza nini chakufanya
Navyojua mimi biashara its not about money first..That is really great. Nadhani humu JF nitafika, naanza kuona mwanga mwisho wa tunnel
True story...Mimi ningekuwa wewe kwanza na chukua 150M nanunua bonds za 25 years ambazo gawio lake linazidi mshahara nilio nao sasa.
50M nawekeza kwenye biashara yoyote ambayo ningeweza kuifanya bila pressure. Hapa ningekuwa wewe naanza biashara ya ufugaji wanyama wakubwa kama mbuzi, ng'ombe na kitimoto natumia mtaji wa 40M tu kwenye hili.
Stage ya kwanza ni muhimu kwa sababu hata mambo yaende vibaya vipi unayo hakika ya kupata kipato zaidi ya mshahara wako bila wasiwasi.
Mambo yakinyooka kwenye biashara ya ufugaji unaweza kuongeza mtaji kwa kuuza sehemu ya bonds za kwenye uwekezaji wa mwanzo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bilioni ama 200 milioni aisee
Usijaribu kuwaomba ushauri wana-CCM.Watakuambia jembe halimtupi mtu.Eti uende kwenye kilimo wakati wao wapo kwenye lami wanaendesha viieeitii!I say, kila mtu anasema hivyo, maana nilifikiria kulima viazi mviringo jamaa wanasema kuna watu wamefilisika wanunuaji wa ujumla wanajipangia bei wanavyotaka na serikali wala haiingilii!
Halafu yaani umeongea point, maana ananiambia I have to learn to take risks. Anasema nikikataa nikaja kupoteza kazi yangu nisimwombe tena hiyo hela! I have to decide now!Ama assume leo hii unastaafishwa kwa manufaa ya umma utafanyaje?!
Ulipenda ufanye nini ukistaafu?
Hio fani unayofanyia kazi saivi unaweza jiajiri kwa fani hio hio?.
We jamaa muuaji aisee1. Acha kazi
2. Chukua mil 200
3. Nitafute nikupeleke kwa pisi Kali na viwanja high class.
4. Hela ikikata, tafuta kazi tena
Kuna mtu kasema viongozi wetu wanatuambia vijana wetu wasitegemee kazi za ajira wajiajiri wakati wao wanadanganya na hata kuua ili waendelee kuwa na kazi walizonazo! Yaani ilibidi nicheke, maana nilikumbuka hawa jamaa wanavyokwenda Mlingotini Bagamoyo kulinda ajira zao wakati wanasema vijana wetu wajiajiri wasipende kuajiriwa!Usijaribu kuwaomba ushauri wana-CCM.Watakuambia jembe halimtupi mtu.Eti uende kwenye kilimo wakati wao wapo kwenye lami wanaendesha viieeitii!
Ndio mawazo yangu. Lakini hiyo bashara ni biashara gani basi? Nina mtaji nataka niingie huko.Kama utapata ushauri wa wafanya biashara hiyo fedha katika biashara pato la faida la mwezi 1, ni sawa na accumulation ya mshahara wako wa mwaka. Hapo nazungumzia biashara yenye return ndogo ya 10% kwa mwezi. Ukipata ya 20% pato la mwezi ni miaka 2. Uamuzi ni wako umasikini au utajiri.
Kuna mdau katoa hapo ushauri wa 150m bonds 50m biasharaHalafu yaani umeongea point, maana ananiambia I have to learn to take risks. Anasema nikikataa nikaja kupoteza kazi yangu nisimwombe tena hiyo hela! I have to decide now!
In fact hata alijoke kwamba kwani wewe ulipokuwa unamchumbia shemeji angekutalia kwa kuwa ana mtu halafu aje akufuate baadae kwa kuwa mtu wake amemwacha ungekubali kumchukua?🤣🤣🤣
Mimi ningekuwa wewe kwanza na chukua 150M nanunua bonds za 25 years ambazo gawio lake linazidi mshahara nilio nao sasa.
50M nawekeza kwenye biashara yoyote ambayo ningeweza kuifanya bila pressure. Hapa ningekuwa wewe naanza biashara ya ufugaji wanyama wakubwa kama mbuzi, ng'ombe na kitimoto natumia mtaji wa 40M tu kwenye hili.
Stage ya kwanza ni muhimu kwa sababu hata mambo yaende vibaya vipi unayo hakika ya kupata kipato zaidi ya mshahara wako bila wasiwasi.
Mambo yakinyooka kwenye biashara ya ufugaji unaweza kuongeza mtaji kwa kuuza sehemu ya bonds za kwenye uwekezaji wa mwanzo.
Mkuu, kuacha kazi sio uamuzi wangu, ni sharti la sponsor! I give you USD 100,000 only if you are willing to quit your job and seriously pursue business, commit to it. You cant have both, your job and the USD 100,000.Kuna mdau katoa hapo ushauri wa 150m bonds 50m biashara
Ila mi nashauri na kazi usiache
Raha ya utajiri ni double or triple sources of income
1.bonds
2.biashara hio ya 50m tafta kitu simple tu kiwe kinaingiza hela ya kawaida tu
3.usiache kazi km unaipenda
Ndugu foji mabarua nk