Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
ujenge chuo cha kufundisha nursing / medical assistants;
ujenge shule .a. level
ujenge hospital, private
Uwe na mtu wa kufuatilia vibali
Unless otherwise ... ukandarasi
Safi. Nadhani ningekuwa yeye ningekuuliza hiyo biashara ni biashara gani. Nadhani hili pia ndilo swali lake lake la msingi.
Comments nyingi ni zenye kumsaidia na sio kumuingiza mkenge na in the end atachagua...but kumfundisha wizi, uongo-uongo, utapeli ili afanikiwe si sawa na ni kumuangamiza..trust ni kitu muhimu na ndio maana ndugu yake amekuwa open kwake.Huyu mtu ni muoga wa biashara
Like many employees
Msimuingize mkenge
Kwanza umeaniriwa binafsi au seeikali?Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Better akanunua govt bonds kwa mwaka anaweza kumake 28m kitu ambacho ni impossible kwa fixed deposit interest.Chukua mzigo huo mkuu 200M, ila usiende weka kwenye kilimo.. narudia usiende weka kwenye kilimo hasa cha mvua 😁😁
Acha akalime matikiti.Chukua mzigo huo mkuu 200M, ila usiende weka kwenye kilimo.. narudia usiende weka kwenye kilimo hasa cha mvua [emoji16][emoji16]
Tembelea Arusha mkuu.Nina 200M pisi kali tunazitolea wapi aseee.. ambazo ukiingia ndani huitaji kuwasha taaa, zenyewe tu zing'aaaa
mkuu uhakika ni kufa tu, muamala usome kwanza ndio uache kaziMkuu muamala ni wa ukahika kabisa. Hapo hakuna hofu yeyote.
Una muda gani kazini mkuu?Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Kweli bana hela unaweza kupewa hata 500M lakin kama huna mipango thabiti unaweza kuja kuishia kua mchekeshaji mitandaoniAlijisemea wa ukae akili za kuambiwa changanya na zako, Kuna washiliki wa bigbrother walishinda mipesa wapo wapi? Mmoja juz alikuja kwenye msiba wa ndugu yake, hata Mimi mchovu naafazari.
Hiyo 200m kama huna biashara ya kuendeleza unaenda kuanguka in just 1 year na utaikumbuka kazi yako ulioacha. Biashara unayoenda kuanzisha inaasilimia 75 ya kufeli kwa sababu nyingi sana ikiwemo uzoefu wa mtaani, aina ya biashara na kupump hela nyingi sehemu isipohitajika. Muulize Idris Sultan na ile 700m ilipoishia. Kimsingi mtaani ni tofauti sana hata kama unamtaji. Asilimia 25 ya kufanikiwa usiipuuze ni kubwa pia na ukitoboa umetoboa.Mkuu, sijawahi kufanya hata biashara ya juice au ice cream. Toka nimalize chuo mie mtu wa kuajiriwa tu!