Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Katika wote niliosoma mawazo yao walau wewe umetoa ushauri kwa experience wengine hawajawahi hata fanya biashara wanatoa ushauri fake, wengine wanafanya biashara na wanajua nini cha kufanya ila wamempuuza huyu jamaa.Acha kazi without a doubt
Lakini usikurupuke
Uwe na plan nini na nini utafanya na fanya utafiti wa kutosha
Pesa zigawe kwa mafungu
Ingekuwa mimi biashara zote ningetumia mtaji usizidi mil 30
Speaking from experience biashara zote nilianza na mtaji below 10M na nikakuza mtaji
Huwa nashauri hata kama mtu ana access na pesa nyingi asianze na pesa nyingi utajikuta umefanya vitu unnecessary
Unatakiwa uanze mdogo usome biashara ilivyo ndio uingize pesa zako sasa
So 200M ni nyingi sana inakupa nafasi ya kufanya kuanguka kujifunza na kufanya tena kwa ukweli
Ngoja niendelee kusoma maoni.