Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mwezi huu si unakwisha kesho kutwa mkuu?

Umemwuliza kama kesha confirm safari na kama vipi airline gani kabisa?
 
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwambie aangalie TBC kuna ndege ya Eitisi inaenda kurudisha wabongo walioko huko. Mshauri aende kuwapokea eapoti siku ya kurudi awaulize hayo maswali
 
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Swali la kijinga sana umeuliza. Aende kwani gharama ni ndogo kama kwetu Kiabakari-Butiama, Mara. Si zaidi ya laki 2 kwa mwaka.
 
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwambie aangalie Al jazeera news, atapata anachokitaka
 
Back
Top Bottom