Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Naona Umemisi wali wa Msiba
 
Awahi kwenda Poland ili apande ndege ya NATO inayoenda Kiev, ikumbukwe tu kutokaza sana mkanda na parachuti mkonono
 
Hizo scholarship zinatokaje wakati wamezuia kila kitu...
 
.

Screenshot_20211223-202115_Chrome.jpg
 
Habarini za leo,
Naomba kuuliza ndugu zangu.

Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine.

Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla.

Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Wasiliana na puttin ampe gharama za masomo
 
Back
Top Bottom