Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hawezi kuingia kigezo ni c3 tu.Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Anaenda advance ikiwa ana point 10 kwenye masomo ya combination. Chini ya hapo mpeleke diplomaAisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Ahaaa yeye hapo kaniambia Kiswahili ana C, History ana C, na English ana DAnaenda advance ikiwa ana point 10 kwenye masomo ya combination. Chini ya hapo mpeleke diploma
Asante kwa ushauri mkuuChuo mpeleke
Advance hawezi
Asante mkuu ngoja nitafute namna nyingineHawezi kuingia kigezo ni c3 tu.
Hapo amequalify, ila kabla ya kwenda muulize kama ameridhia. Isijekuwa hataki advance ila unamlazimisha. Kama anataka chuo mpeleke chuo, ila Kwa comb za arts ni rahisi kufaulu Kwa advance kushinda science.Ahaaa yeye hapo kaniambia Kiswahili ana C, History ana C, na English ana D
Maana yake hapo HKL si imeshakuwa point 10?
Of which anaweza qualify si ndio
Hawezi kwenda Form Five...Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Msilazimishe mtoto kusoma njia hiyo iliyozoeleka hata kama uwezo wake ni wa kusukuma...! Je, mtoto hana kipaji au kitu anachokipenda nje ya masomo hayo formal? Vitu kama ufundi, udereva, urembo, etc.Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Asante mkuu, ila mimi tatizo bado naamini sana nguvu ya advance anyway nitangea nayeHapo amequalify, ila kabla ya kwenda muulize kama ameridhia. Isijekuwa hataki advance ila unamlazimisha. Kama anataka chuo mpeleke chuo, ila Kwa comb za arts ni rahisi kufaulu Kwa advance kushinda science.
Asante mkuu nitalifanyia kaziMsilazimishe mtoto kusoma njia hiyo iliyozoeleka hata kama uwezo wake ni wa kusukuma...! Je, mtoto hana kipaji au kitu anachokipenda nje ya masomo hayo formal? Vitu kama ufundi, udereva, urembo, etc.
Anaweza kwenda kupiga kozi za ufundi magari VETA (kama ana passion hiyo), na baada ya hapo akapiga kazi garage, na akaendelea vizuri tuu, hadi baada ya miaka akija kukutana na classmates wake wakiwa ndo wanamaliza chuo, yeye anakua keshapiga hatua kubwa ya maisha!!
Hayo matokeo aliyoyapata ndo akili yake (kichwa chake kizito kwa masomo ya darasani), au ni bahati mbaya tu imetokea?
Kuna ndugu yangu mmoja yeye shule kwake ulikua ni mzigo mzito, hata form four alifika kwa 'mbinde' sana, na akapiga four. Wazazi wake wakawa wana force kingi arudie mitihani. Meanwhile, jamaa alikua na kipaji na mapenzi makubwa na masuala ya udereva na ufundi magari, jamaa alijifundisha kuendesha magari na kutengeneza akiwa tu kitaa huku anasoma, bila kwenda chuo chochote cha ufundi.
Nikawa nimeombwa ushauri na wazazi wake na kuambiwa niongee na dogo kum convince arudie pepa. Nilipoongea nae, nikaona kabisa huyu path ya shule formal sio njia yake. Nikawashawishi sana wazazi wake wampeleke VETA asomee udereva na ufundi magari. Wakakubali, akaenda VETA dogo kusomea rasmi udereva wa magari ya kawaida, na udereva wa magari makubwa, akapiga na course ya VIP. Kisha akapiga na course ya ufundi magari.
The rest is history, sasa hivi jamaa anafanya kazi kama dereva shirika fulani, zaidi ya miaka 10 sasa, analisha familia yake, amejenga na ana biashara zake mjini.
Ukonga Skillful nilisikia wanapiga Promo wanampokea hata akiwa na C moja kwa hio muelekeze huko kuna wenzie walienda wametoboa sasa hivi wapo vyuoniAisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Shida yeye yupo Arusha mkuu naweza pata msaadaUkonga Skillful nilisikia wanapiga Promo wanampokea hata akiwa na C moja kwa hio muelekeze huko kuna wenzie walienda wametoboa sasa hivi wapo vyuoni
Duuuh huko mbali hii ipo DarShida yeye yupo Arusha mkuu naweza pata msaada
Kweli kabisa ukimlazimisha mtoto kusoma hata kama masomo ni rahisi ila yy atafeli koz sio kitu anachokihitajiMsilazimishe mtoto kusoma njia hiyo iliyozoeleka hata kama uwezo wake ni wa kusukuma...! Je, mtoto hana kipaji au kitu anachokipenda nje ya masomo hayo formal? Vitu kama ufundi, udereva, urembo, etc.