mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Kama pia yeye anataka form five anaweza kwenda Shule unayotaka kumpeleka,pia anajisajili na Kurudia paper la form four Kwa Somo Hilo Moja Kwa ajili ya kusafisha cheti kupata C hiyo iliyobaki.....Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form Four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Yaani anakuwa anapiga form five Huku anarudia na paper ya form four