Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

Kama pia yeye anataka form five anaweza kwenda Shule unayotaka kumpeleka,pia anajisajili na Kurudia paper la form four Kwa Somo Hilo Moja Kwa ajili ya kusafisha cheti kupata C hiyo iliyobaki.....
Yaani anakuwa anapiga form five Huku anarudia na paper ya form four
 
hivi dogo akienda diploma ya afya Miaka mitatu akitoka huko anakuwa ashaiva na vipi kuhusu kuajiriwa?
 
hivi dogo akienda diploma ya afya Miaka mitatu akitoka huko anakuwa ashaiva na vipi kuhusu kuajiriwa?
Anakuwa kashaiva...Kikubwa amalize tu na kama akitaka kuja kusoma degree huko mbeleni basi lazima ahakikishe ufaulu wake uwe GPA kuanzia 3.0 na kuendelea.....

Kuhusu Ajira ni yeye kumaliza tu,na zikitoka Ajira za Tamisemi,Wizara ya Afya,au Private ni yeye Kuomba Tu,na Anaajirika tu vizuri...
 
Binafsi nakushauri umpeleke Pandahill Sec iliyoko Mbeya. Sababu ni hizi;
1. Hawana interview
2. Wanaamini kwenye kumchukua aliyefeli ili wao wamngárishe.
3. Unawapa matokeo yake, wao wanakushauri kombi ipi asome.

Sababu hizo zote hapo juu nimezishuhudia mimi mwenyewe. Nina mtoto aliyeenda pale akiwa na division 4 ya mwishoni mwishoni ya form four, na akatoka na one ya 9 form six.

Ukitaka mawasiliano ya huko njoo inbox.
 
namshahara wa ukoje Ili nimshauri mdogo wangu aende chuo.
 
Habari wana jf iv kuna uwezekano clinical officer CO akasoma bachelor of law na ni chuo gani mwenye kuelewa hilo asaidie kuna binadamu anataka kuja medical
 
Mpeleke chuo. Advance ni wastage of time and resources. Anaweza akafeli pia advance akaanza tena certificate au diploma
 
Unaweza kumpeleka chuo, lakini advance ni nzuri zaidi. Pia hizo elimu za ufundi zinaweza kusomwa hata akimaliza chuo. Ungekuwa Dar es Salaam ungempeleka Mwalimu Makoba Open School Kinondoni atafute hiyo C moja. Kwa Arusha sina uzoefu.
 
Anaenda advance ikiwa ana point 10 kwenye masomo ya combination. Chini ya hapo mpeleke diploma
Mkuu acha kumpotosha, mwanafunzi hata anaesoma private kidato cha tano lazima awe na C tatu kama takwa la lazima la kusajiliwa kwa mtihani wa kidato cha sita. Hata awe na A mbili bado hawezi kwenda kidato cha tano hata private unless arisiti kutafuta hiyo c moja.
 
Advance ni nini na hkl hizi mkuu?, Mtafutie kijana elimu ya ufundi itakayompatia ajira binafs ya kudumu isiyosubiri hisani ya wanasiasa. Vijana wapo mtaani wanajuta kwenda advance na vyuo vikuu...
Mnataka kila mtu awe fundi tu?
 
veta
 
Maximum ni CCD kwenye masomo ya combination, huyo anaenda vizuri advance
 
Naweza pata number yako ya simu
 
Naweza pata number yako ya simu
 
Wee Mlongo div 4 ya mwishoni ipii? 32?
Aliwezaje kusoma Advance? Hebu fafanua vizuri ueleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…