Rangooo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 243
- 408
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.
Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu aliyoipata mzumbe, anaamin hiyo inaweza ikawa gia nzuri ya yeye kutoboa but hana plan nyingne yoyote ile nyingne zaid ya hyo, hvyo tukashauriana kwa pamoja tuanzishe huu mjadala humu JF, kwa yeyote yule aliye na uzoefu ama ana ndugu alishwahi fika huko aweze tupa mawazo zaidi nini cha kufanya.
Asanteni, nakaribisha hoja.