Ndugu yangu Diamond Platinumz wekeza haraka sana, maisha ya wanamuziki wa Tanzania hugeuka shubiri haraka

Ndugu yangu Diamond Platinumz wekeza haraka sana, maisha ya wanamuziki wa Tanzania hugeuka shubiri haraka

Diamond karanga , chibu perfume, wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo (uwekezaji mkubwa kama unajua maswala ya IT utaelewa) , wasafi label na studio, wasafi clothline , wasafi studio kwa ajili ya kupiga picha nk bado hapo yy mwenyewe balozi Coca, VODA, bellarie, GSM mall na partnership kati ya safaricom ya kenya na WCB nk, upande wa uwekezaji kafanikiwa sasa ww sijui unataka uwekezaji gani,. Huo ushauri wape wasanii wengine si diamond na mda si mrefu anaingiza bidhaa nyingine sokoni. Mimi ushauri wangu diamond platnumz ulikuwa ni kutoa album na naona mda si mrefu ataito album yake Boy from tandale.
Yote uliyoyataja ni kwa 70% nikama ameajiriwa, akifulia hatokuwa na sifa ya kuwa balozi popote pale. Nilivyomuelewa mtoa mada, pesa anayoipata kutoka kwenye hayo makampuni ndio aiwekeze kwenye miradi mikubwa yakwake binafsi.
 
kizaizai dah hivi kaka nitajie msanii ambaye hatokuja kuchuja au kufulia yyt yule duniani, diamond ni brand haja ajiriwa anatumia brand zake (WCB, CHIBU, Diamond platnumz). Kangaza karanga, chibu kwa hiyo ana share tena ya kudumu vizazi na vizazi, hivi Dr dree ana hit gani sasa hivi billboard lkn still anauza headphones zake beat by dree na dree hana kiwanda wala mashine za kuzalisha phone ila ana asilimia yake mpaka anaingia kaburini kwa sababu brand yake ya Dr dree , Michael Jordan sasa hivi kastaafu basketball hasikiki kama zamani lkn yy na Nike wameingia mkataba wa kutumia brand yake Jordan kuuza viatu ila Kuna asilimia Nike wanamlipa Jordan kwa sababu wanatumia brand yake Jordan, kumbuka Jordan hana kiwanda, hivyo hivyo Kanye West anauza viatu kupitia brand yake yeezy na ameingia mkataba na Adidas, Kuna asilimia Kanye anaingiza, hao wote Kanye, Jordan na Dr dree hawasikiki lkn bado wanaendelea kupiga ela kupitia brand zao walizo zipromoti mpaka wanaingia kaburini na hata vizazi vyao vitakuwa bado wanaendelea kuingiza hela kwa sababu yao sijui unanielewa. Kama unafuatili future ya dunia ijayo hasa ktk maswala ya mziki mauzo mengi yatakuwa online, ndio ipo hivyo CD watu wameichoka, kwa diamond anapiga ela ktk website yake ya wasafi. Com kama ilivyo kwa Jay Z kwa tidal na kama umenunua hasa Hizi compyuta ambazo ni toleo jipya hamna CD ROM wanatumia USB ports sijui unanielewa ndio mambo yanavyofanyika ktk dunia ya sasa, promote brand yako sasa hivi ukiwa ktk peak position of your talent ili hata kesho ukistaafu au ukifulia unaendelea kupiga ela kama wafanyavyo akina Dree, Diddy, Kanye, Beckham nk. Hivi kama unafuatilia mpira kwa nini Ronaldo anahangaika sana kufungua bidhaa zenye label ya CR7(viatu, boxer), kijana funguka hata ww kesho ukiwa maarufu promote brand yako ili kesho ukikaa pembeni ela inaingia kupitia brand yako. Unaweza kweli ukachuja lkn brand ikaishi vizazi na vizazi, kama hujui hamna kazi ngumu kama kubadilisha brand ya bidhaa ambayo ishakubalika sokoni na ukaipa jina jipya,kwani ni risk kubwa sana na unaweza ukatumia gharama kubwa kuiprimoti na ukafeli, ukasababisha mauzo kushuka au hata kampuni kufa kama unabisha hebu tafuta watu wa marketing wakupe darasa ndio utaelewa. Sasa kama hiyo komenti yako inaongozwa na msukumo wa timu zetu hizi umekosea kwani hata siku moja huwezi ua brand hata kama baadaye ukifulia ni hayo, kama ukibisha endelea kukaa na ubishi wako kama wale wafuasi wa mange, kila kitu mange kasema.
 
Ushauri mzuri ila bahati mbaya ukimshauri mwenye pesa ili akubari Ushauri wako lazima nawe uwe na pesa vinginevyo ataona ni maoni ya mkosaji tu
 
Sawa. Bongo sio kama Ulaya au US ukishachuja na jina limechuja. Awekeze kwenye biashara zisizo tegemea Jina lake.
 
.watu wanamponda sana kiba ila nadhani jamaa ana akili sana akitoa wimbo mmoja anahakikisha umerudisha hela yake ndo anatoa mwingine.nadhani hyo ni good strategy maana music ndo kazi yake sio kufurahisha tu watu
Acha bhana! Yaani ndo strategy mzuri hiyo?!

Vyanzo vikuu vya mapato ni tv air time (kwa nchi zinazolipia) na Youtube!

Kadri muda unavyopita, number of viewers Youtube inapungua na hivyo kushusha mapato ya Youtube! Hata frequency ya ngoma kuchezwa kwenye TV nayo inapungua which means, air time income nayo inapungua!!

Tena Team Vevo ambako Kiba yupo ni balaa zaidi!! Vevo wanamiliki Youtube Channel ambayo wanalipia! Wakiingiza pesa ya matangazo kupitia Youtube Channel yao lazima watoe gharama za kulipia Youtube Channel.

Mkwanja unaobaki ni wa VEVO inayomilikiwa na Sony, UMG na kampuni moja ya Arabuni!!!! Hawa lazima wachukue chao na kinachobaki kinaenda kwa akina Kiba!!!!

Lakini hapo hapo kwa hicho kinachobaki kina uwezekano mkubwa chote kisiwe chako! Tofauti na Youtube ambako mtu anafungua account mwenyewe; Vevo lazima utumie third part!!! Nao wanachukua chao kabla akina Kiba hawajavuta!!!

Wasiolewa wanamuona Diamond mjinga kuikwepa Vevo huku wengine waking'ang'ania Vevo ili wapate sifa za kijinga... nipo Vevo!!!

Kwa mtu kama Kiba, bado hapo!!! Kama mkataba wake unasema Sony/Rockstar wanagharamia kila kitu hapo napo kuna maumivu mengine manake lazima watoe production costs walizoingia!!!

Mbaya zaidi, tofauti na WCB iliyokaa kisela sela, Rockstar4000 imekaa ki-professional! Hata ikitoka Rand 1 ya kununua kalamu ya ku-draft video idea, lazima iwe documented na mwisho wa siku hiyo nayo ni cost burden kwa msanii!!!! Kama video script imeandikwa na mwingine, hiyo nayo ni cost burden kwa msanii!!!!

Kwahiyo endeleeni tu kumjaza ujinga wakati ukweli ni kwamba, kinachomfanya asitoe ngoma mara kwa mara ni uoga wa kuogopa anaweza kutoa na isifanye vizuri huku akitaka kuaminisha watu kwamba hana sababu ya kutoa mara kwa mara kwa sababu ngoma zake ni hit zenye uwezo wa kuishi muda mrefu wakati hata ma-pro wenyewe siku hizi ni bandika bandua kwa sababu wanafahamu katika ulimwengu ambao ngoma kila saa zinaachiwa, there's no way ngoma inaweza kuishi muda mrefu!!!
 
Acha bhana! Yaani ndo strategy mzuri hiyo?!

Vyanzo vikuu vya mapato ni tv air time (kwa nchi zinazolipia) na Youtube!

Kadri muda unavyopita, number of viewers Youtube inapungua na hivyo kushusha mapato ya Youtube! Hata frequency ya ngoma kuchezwa kwenye TV nayo inapungua kwa sababu kila siku kuna tracks mpya zinatoka!!! Again, air time income nayo inapungua huku ukipiga usingizi watu wakuone ukito ngoma moja, unatulia... sifa za kijinga!!

Tena Team Vevo ndo balaa zaidi! Kiba yupo Vevo Youtube Channel!! Vevo wanalipia Youtube! Vevo wakiingiza pesa ya matangazo kupitia Youtube Channel yao lazima watoe gharama walizotumia kulipia Youtube Channel.

Mkwanja unaobaki ni wa VEVO ambayo inamilikiwa na Sony, UMG na kampuni moja ya Arabuni!!!! Lazima wachukue chao na kinachobaki kinaenda kwa akina Kiba!!!!

Hapo hapo kwa hicho kinachobaki kina uwezekano mkubwa chote kisiwe chako! Tofauti na Youtube ambayo mtu unafungua account mwenyewe; Vevo lazima utumie third part na zipo kampuni mahususi kwa ajili ya hiyo kazi!!! Nao wanachukua chao kabla akina Kiba hawajavuta!!!

Wasiolewa wanamuona Diamond mjinga kuikwepa Vevo huku wengine waking'ang'ania Vevo ili wapate sifa za kijinga!!!

Kwa mtu kama Kiba, bado hapo!!! Kama mkataba wake unasema Sony/Rockstar wanagharamia kila kitu hapo napo kuna maumivu mengine manake lazima watoe production costs walizoingia!!! Mbaya zaidi, tofauti na WCB iliyokaa kisela sela, Rockstar4000 imekaa ki-professional! Hata ikitoka Rand 1 ya kununua kalamu ya ku-draft video idea, lazima iwe documented na mwisho wa siku hiyo nayo ni cost burden kwa msanii!!!! Kama video script imeandikwa na mwingine, hiyo nayo ni burden kwa msanii!!!!

Kwahiyo endeleeni tu kumpa matumaini wakati ukweli ni kwamba, kinachomfanya asitoe ngoma mara kwa mara ni uoga wa kuogopa anaweza kutoa na isifanye vizuri huku akitaka kuaminisha watu kwamba hana sababu ya kutoa mara kwa mara kwa sababu ngoma zak ni hit zenye uwezo wa kuishi muda mrefu wakati hata ma-pro wenyewe siku hizi ni bandika bandua!!!

Ajabu ni kwamba, ngoma ikibamba inapigwa remix hadi mara 3!!!!
Maelezo mazur sana ila je ni maelezo sahihi?
 
kila siku anatoa nyimbo zenye video expensive,unataka kuniambia hizo nyimbo zinampa return inayotakiwa? mimi nadhani diamond jina lake na music wake ni mkubwa kuliko hela anayoingiza. labda apige show tu na hela yenyewe ya show ina chawa kibao .mameneja watatu wapate mgao sio mchezo
Umeamua kujifurahisha, endelea kutafuta
 
Yote uliyoyataja ni kwa 70% nikama ameajiriwa, akifulia hatokuwa na sifa ya kuwa balozi popote pale. Nilivyomuelewa mtoa mada, pesa anayoipata kutoka kwenye hayo makampuni ndio aiwekeze kwenye miradi mikubwa yakwake binafsi.
Nyie mnachotaka kusikia kuwa jamaa hajawekeza basi, ila mkiambiwa ana hiki na hiki mnaleta sababu ziszo na prove. Mara kaajiliwa mara siyo zake sababu kibao.
 
Yote uliyoyataja ni kwa 70% nikama ameajiriwa, akifulia hatokuwa na sifa ya kuwa balozi popote pale. Nilivyomuelewa mtoa mada, pesa anayoipata kutoka kwenye hayo makampuni ndio aiwekeze kwenye miradi mikubwa yakwake binafsi.
Tatizo lenu mnatarajia biashara zinazofanywa na Engineer ndizo ziwe zinazofanywa na Daktari!!! Kwavile mnaona Engineer amewekeza kwenye construction business mnamuona daktari ni famba kuwekeza kwenye zahanati!!!!!

Watu wanapiga mpunga wa endorsement na kuwekeza kwenye biashara walizo na interest nazo lakini sio kuwekeza tu ili uwafurahishe JF na Instagram!!!
 
Hawa jamaa wanachotaka kusikia ni kuwa diamond hajawekeza chcht ili wafurahisha nafsi zao.

Kipindi ndo anaanza na perfume waliziponda sana mara bei kali mara hazina harufu nzuri mara kakurupuka ila zilipoonyesha kuuza sokon ikawa ni za kusaga wakabadirisha gear angani.

Eeeh tunakuja kwny diamond karanga, diamond akaamua kutoa bidhaa zilizo affordable kwa kila raia wa hari ya chini, walibeza sana mara diamond mziki umemshinda kahamia kwny karanga mara kakurupuka kuuza izo karanga hazitauza sokon....cha ajabu zimepiki kwny kilele chake wametafuta sbb nyingne mara siyo zake yeye anatumika kama brand ambassador yaani sababu kibao ili mradi tu ionekane diamond hawekezi.....na ukiwauliza ushahidi wa ich wanachosema watakwambia mange kasema yaani kwao mange ndo trusted source yaani hakosei.
 
Utajiri wa mtu mweusi ni watoto.....Namshauri endeleee kutotoa kwa juhudi waje kumsaidia uzeeni
 
Back
Top Bottom