Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI KUMBE KUZAA NA ZARI NAPO NI UWEKEZAJI?nazani unaamini uwekezaji ni kujenga nyumba tu.. tena uwe unaziona..
diamond ana nyumba zaidi ya tano.. ana kampuni WCB.. ana share karanga.. amezaa na zari watoto wao tu ni biashara kubwa... unataka awekeze kwenye nini... au hadi anunue malori??
You're right, ingawaje wengine wanajifanya kukosoa eti kwanini hawawekezi kumbe wanachotaka ni kuona hana chochote!!! Lakini kwa bahati mbaya ndo kwanza kila siku wanakula maumivu!!!Hawa jamaa wanachotaka kusikia ni kuwa diamond hajawekeza chcht ili wafurahisha nafsi zao.
Kipindi ndo anaanza na perfume waliziponda sana mara bei kali mara hazina harufu nzuri mara kakurupuka ila zilipoonyesha kuuza sokon ikawa ni za kusaga wakabadirisha gear angani.
Eeeh tunakuja kwny diamond karanga, diamond akaamua kutoa bidhaa zilizo affordable kwa kila raia wa hari ya chini, walibeza sana mara diamond mziki umemshinda kahamia kwny karanga mara kakurupuka kuuza izo karanga hazitauza sokon....cha ajabu zimepiki kwny kilele chake wametafuta sbb nyingne mara siyo zake yeye anatumika kama brand ambassador yaani sababu kibao ili mradi tu ionekane diamond hawekezi.....na ukiwauliza ushahidi wa ich wanachosema watakwambia mange kasema yaani kwao mange ndo trusted source yaani hakosei.