Ndugu yangu Diamond Platinumz wekeza haraka sana, maisha ya wanamuziki wa Tanzania hugeuka shubiri haraka

pale uwekezaji unapokuwa na maana ya kumiliki nyumba!
basi wacha uwe ni huo MBONA ANAZO NYING TU!
ah mambo mengiiiine!
 
nazani unaamini uwekezaji ni kujenga nyumba tu.. tena uwe unaziona..

diamond ana nyumba zaidi ya tano.. ana kampuni WCB.. ana share karanga.. amezaa na zari watoto wao tu ni biashara kubwa... unataka awekeze kwenye nini... au hadi anunue malori??
HIVI KUMBE KUZAA NA ZARI NAPO NI UWEKEZAJI?
 
You're right, ingawaje wengine wanajifanya kukosoa eti kwanini hawawekezi kumbe wanachotaka ni kuona hana chochote!!! Lakini kwa bahati mbaya ndo kwanza kila siku wanakula maumivu!!!

Wengine ndo unakuta wanatoa hoja za kijinga kabisa kama vile hizo karanga zipo tangu 2015 huku wakisahau hata UDA ipo tangu wakati wa Nyerere lakini mmiliki hivi sasa ni Simon Kisena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…