Ndugu yangu John Mrema, fedha za tone tone wanazilipana posho ya ziara ya No reforms no elections

Ndugu yangu John Mrema, fedha za tone tone wanazilipana posho ya ziara ya No reforms no elections

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Nimemsikiliza lakini nimepotezea, acha nikaangalie Simba ikiiondoa Al Masry mimi.
 
Kwa taarifa yako mleta mada mwezi huu naongeza kiwango cha makato kwa aslimia 100% kwa sababu operation ya NO REFORM NO ELECTION Naiona inavyowakimbiza na kuwachanganya watu. Kila siku wanakuja na ngonjera tofauti, NA BADO mtailewa tu ngoja sindano iwaingie polepole.
 
Mrema aende NCCR akafanye siasa za kutupiwa mkjombo na CCM.
Dogo ndio anajifilisi kisiasa,
Na kama kuna mtu anamshangaa huyu mrema huyu basi akajiangalie kwenye kioo kama amefunga tai.
Mrema alianza kukumbwa na ugonjwa wa MUWEWESEKO tangu Lisu alipotangaza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa.
Sasa hivi undugulism Big No. Utakula jasho lako broo
 
Dogo ndio anjifilisi kisiasa,
Na kama kuna mtu anamshangaa huyu mrema huyu basi akajiangalie kwenye kioo kama amefunga tai.
Mrema alianza kukumbwa na ugonjwa wa MUWEWESEKO tangu Lisu alipotangaza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa.
Sasa hivi undugulism Big No. Utakula jasho lako broo
Huyu alikuwa anafikiri chama ni mali ya Kabila sijui kwa sasa wanaongea na Nabii Lema kweli?😆😆
 
Kwakweli huyu Mrema akifukuzwa nitachoma nyama ya mbuzi na Konyagi nitaalika na washkaji wa hapa kitaa.
Japo sijajua saa hizi ni saa ngapi lkn naomba mniambie what is the impact of the duplicate mremago to the CHADEMA PARTY;
WENYE NONDO WATUAMBIE LABDA TUNAWEZA KUMUUNGA MKONO
 
Mrema aende NCCR akafanye siasa za kutupiwa mkjombo na CCM sisi tumeamua kuwa sasa tunaenda na Confrontational Politics Jino kwa Jino.
Kuandika mnaweza sana. Siku ukiambiwa ukaandamane utajificha zaidi mbwa Koko anavyoficha makende akiona Soo Bure kabisa
 
Kwakweli huyu Mrema akifukuzwa nitachoma nyama ya mbuzi na Konyagi nitaalika na washkaji wa hapa kitaa.
Dogo na genge lake waking'olewa nakwenda vacation ya wiki tatu kula bata katika visiwa vya maldivies,
Tumechoka watu wa aina hii,
Kwangu mimi kwanza naona msimamo huu umechelewa sana sijui ndio ilikua kale kaasali, Mimi kipindi cha kifo cha Mawazo peke yake ningekiwasha tangu hapo NO REFORM NO ELECTION
 
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
 
Hili genge nalifananisha na drama za Goodluck aliyechoma gari sijui kapotelea wapi. Ndivyo na hawa watakavyopotea kama goodluck.
Hivi wewe dogo, waziri wangu, fanya ufanyalo lakini huna nguvu hata 0.00000000000000000001 % ya kututoa kwenye mstari sisi na tonetone yetu ambayo kibwagizo chake ni NO REFORM NO ELECTION.
 
Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Nimemsikiliza lakini nimepotezea, acha nikaangalie Simba ikiiondoa Al Masry mimi.
Mimi binafsi sintaacha kuchanga. Hapa ndiyo unani encourage nitoe zaidi kufidia na za kwako. Zako baki nazo ukabeti.
 
Safari hii Lissu akisema Serikali ya CCM imekataa kutoa HAKI zetu za Kiraia kwa njia ya AMANI na kilichobakia ni kuzitafuta kwa NGUVU ninamfuata Msituni.
Hahaha, ila hii nchi ukiwasoma watu kwenye mtandao unaweza dhani nchi ipo vitani. Ukiingia kwenye uhalisia sasa watu walivyo busy na anjari na maandazi sijui pweza.
 
Back
Top Bottom