Ok bossKama wamelala tutawaamsha.
Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Nimemsikiliza lakini nimepotezea, acha nikaangalie Simba ikiiondoa Al Masry mimi.
Hv kuna mtanzania ana habari na huo upuuzi? Nyie kwl ni mazuzu, eti inavyowakimbiza? Mna roho ngumu km wendawazimuKwa taarifa yako mleta mada mwezi huu naongeza kiwango cha makato kwa aslimia 100% kwa sababu operation ya NO REFORM NO ELECTION Naiona inavyowakimbiza na kuwachanganya watu. Kila siku wanakuja na ngonjera tofauti, NA BADO mtailewa tu ngoja sindano iwaingie polepole.
Huko kutakuwa kijijini kwenuUnajua kule vijijini kuna wazee bado wanaamini Mzee wetu JKNyerere bado yupo hai.
sasa ndio hawa japo wako mjini, lkn bado wanaamini Mbowe ndio Mwenyekiti wao. Chutameni muone aibu
Kwani si tunazichangia ili wazitumie kwenye campaign za No reform No Elections au walitaki kina Lissu wakiwa ziarani wanywe togwa na kula makande?Tunao changia hatuna hata habari,
Hivi pilipili msioila inawawashia nini?