Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Kwa taarifa yako mleta mada mwezi huu naongeza kiwango cha makato kwa aslimia 100% kwa sababu operation ya NO REFORM NO ELECTION Naiona inavyowakimbiza na kuwachanganya watu. Kila siku wanakuja na ngonjera tofauti, NA BADO mtailewa tu ngoja sindano iwaingie polepole.Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Nimemsikiliza lakini nimepotezea, acha nikaangalie Simba ikiiondoa Al Masry mimi.
Dogo ndio anajifilisi kisiasa,Mrema aende NCCR akafanye siasa za kutupiwa mkjombo na CCM.
Huyu alikuwa anafikiri chama ni mali ya Kabila sijui kwa sasa wanaongea na Nabii Lema kweli?😆😆Dogo ndio anjifilisi kisiasa,
Na kama kuna mtu anamshangaa huyu mrema huyu basi akajiangalie kwenye kioo kama amefunga tai.
Mrema alianza kukumbwa na ugonjwa wa MUWEWESEKO tangu Lisu alipotangaza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa.
Sasa hivi undugulism Big No. Utakula jasho lako broo
Unajua kule vijijini kuna wazee bado wanaamini Mzee wetu JKNyerere bado yupo hai.Huyu alikuwa anafikiri chama ni mali ya Kabila sijui kwa wanaongea na Nabii Lema.😆😆
Kwakweli huyu Mrema akifukuzwa nitachoma nyama ya mbuzi na Konyagi nitaalika na washkaji wa hapa kitaa.Unajua kule vijijini kuna wazee bado wanaamini Mzee wetu JKNyerere bado yupo hai.
sasa ndio hawa japo wako mjini, lkn bado wanaamini Mbowe ndio Mwenyekiti wao. Chutameni muone aibu
Japo sijajua saa hizi ni saa ngapi lkn naomba mniambie what is the impact of the duplicate mremago to the CHADEMA PARTY;Kwakweli huyu Mrema akifukuzwa nitachoma nyama ya mbuzi na Konyagi nitaalika na washkaji wa hapa kitaa.
Kuandika mnaweza sana. Siku ukiambiwa ukaandamane utajificha zaidi mbwa Koko anavyoficha makende akiona Soo Bure kabisaMrema aende NCCR akafanye siasa za kutupiwa mkjombo na CCM sisi tumeamua kuwa sasa tunaenda na Confrontational Politics Jino kwa Jino.
Safari hii Lissu akisema Serikali ya CCM imekataa kutoa HAKI zetu za Kiraia kwa njia ya AMANI na kilichobakia ni kuzitafuta kwa NGUVU ninamfuata Msituni.Kuandika mnaweza sana. Siku ukiambiwa ukaandamane utajificha zaidi mbwa Koko anavyoficha makende akiona Soo Bure kabisa
Dogo na genge lake waking'olewa nakwenda vacation ya wiki tatu kula bata katika visiwa vya maldivies,Kwakweli huyu Mrema akifukuzwa nitachoma nyama ya mbuzi na Konyagi nitaalika na washkaji wa hapa kitaa.
Kabisa, pesa zinachangwa ili zitumike kwenye ishu kama hizoTunachangia TONE TONE na kama zinatumika kwenye ziara ndio pahali pake.
Mimi binafsi sintaacha kuchanga. Hapa ndiyo unani encourage nitoe zaidi kufidia na za kwako. Zako baki nazo ukabeti.Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Nimemsikiliza lakini nimepotezea, acha nikaangalie Simba ikiiondoa Al Masry mimi.
Hahaha, ila hii nchi ukiwasoma watu kwenye mtandao unaweza dhani nchi ipo vitani. Ukiingia kwenye uhalisia sasa watu walivyo busy na anjari na maandazi sijui pweza.Safari hii Lissu akisema Serikali ya CCM imekataa kutoa HAKI zetu za Kiraia kwa njia ya AMANI na kilichobakia ni kuzitafuta kwa NGUVU ninamfuata Msituni.
Kabisa huyu Mrema hana Hoja.Kabisa, pesa zinachangwa ili zitumike kwenye ishu kama hizo