Ndugu yangu John Mrema, fedha za tone tone wanazilipana posho ya ziara ya No reforms no elections

Hahaha, ila hii nchi ukiwasoma watu kwenye mtandao unaweza dhani nchi ipo vitani. Ukiingia kwenye uhalisia sasa watu walivyo busy na anjari na maandazi sijui pweza.
Mkuu, watu wengi kwasasa wameona M23 ilivyotoa Dozi kwa Tshisekedi na SADC yake, kwahiyo kama wale Watutsi wembamba warefu wameyakimbiza mababa mazima kwanini sisi tuendelee kuibiwa Kura zetu na Mchengerwa na Mama Mkwe wake?

Tundu Lissu akisema tuingieni front tutafute HAKI zetu kwa nguvu then tunamfuata.
 
Tone tone ni upigaji mkubwa
 
Kuandika mnaweza sana. Siku ukiambiwa ukaandamane utajificha zaidi mbwa Koko anavyoficha makende akiona Soo Bure kabisa
Wenye kujali familia zetu hatuwezi kuandamana ili chama Fulani kishike dola
 
Alizoea kula na Mbowe akikumbuka analia weeee😂😂😂😂😂
Lisu mbaya sana kwa kuharibu ajira za watu
 
Alizoea kula na Mbowe akikumbuka analia weeee😂😂😂😂😂
Lisu mbaya sana kwa kuharibu ajira za watu
😆😆😆😆😆😁😆😁😆😂😂😂😂
 
Hahahaha sasa wakale wapi mkuu? Lema alikua kachoka vibaya sana!! Lissu ni mroho wa kitambo ndo maana ana tumbo utasema ana mimba!
 
Mkuu jisemee nafsi yako, usijihakikishie na nafsi za wengine maana huwa haiwi mpaka inapokuwa.
 
Maccm mna upumbavu mwingi sana,Samia anatumia kodi za Watanganyika kuijenga Zanzibar nyie mnamkenulia tu pumbavu kabisa nyie.
 
wacha wale kazi yao tunaiona sisi wananchi siyo wajinga, tunawaona wanavyopiga kazi haswa usiku na mchana no reforms no election hadi nyie genital55 meanza kuweweseka
 
Samia ndiye anaponda mali zetu watannganyika na waarabu wake. Lissu ni mchango wa wananchi na anatumia fedha kwa nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…