Ndugu yangu John Mrema, fedha za tone tone wanazilipana posho ya ziara ya No reforms no elections

CD56HG****** Imethibitishwa. Tsh4,000.00 imetumwa kwa CHADEMA kwenye akaunti namba 1234 tarehe 6/4/25 saa 1:00 PM Ada Jumla Tsh0.00 (M-Pesa Ada Tsh0.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00).
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Hv kuna mtanzania ana habari na huo upuuzi? Nyie kwl ni mazuzu, eti inavyowakimbiza? Mna roho ngumu km wendawazimu
 
Tunao changia hatuna hata habari,
Hivi pilipili msioila inawawashia nini?
Kwani si tunazichangia ili wazitumie kwenye campaign za No reform No Elections au walitaki kina Lissu wakiwa ziarani wanywe togwa na kula makande?
Wao pesa za Join the Chain walipeleka wapi? Mrema asitupigie kelele, kumbe mpango wa Ccm kukaa madarakani na watu kuuwawa kwenye chaguzi ni mpango wa kina Mrema na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…